Je, Wakimbizi wakipewa uraia ni halali kubadilishwa kabila?

Lugha kusikilizana hakuhalalishi kuvunja utambulusho wa mtu, ndo elimu duni yenyewe kwenye elimu ya utambulisho wa mtu.

Kama lugha zikiingiliana unapoteza kabila la mtu, kwa nini hadi leo wapo wajita, wakerewe na wakara?
Kwanza mkuu wewe mwenyewe unajina la kikimbizi possibly kirundi ila unaweza kujifanya mtanzania kwa kusingizia kwenu ni kigoma na ni muha, sasa mtu amekua mtanzania ingawa ethnicity yake haibadiliki je kuna mtutsi au mhutu mtanzania? unakumbuka maswala ya assimilation mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…