ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,941
Una uhakika we mganda?Waha wanajulikana, hawafanani na wahutu wala watutsi.
Una uhakika we mganda?Waha wanajulikana, hawafanani na wahutu wala watutsi.
Anachosema ni sahihiUna uhakika we mganda?
Kwanza mkuu wewe mwenyewe unajina la kikimbizi possibly kirundi ila unaweza kujifanya mtanzania kwa kusingizia kwenu ni kigoma na ni muha, sasa mtu amekua mtanzania ingawa ethnicity yake haibadiliki je kuna mtutsi au mhutu mtanzania? unakumbuka maswala ya assimilation mkuuLugha kusikilizana hakuhalalishi kuvunja utambulusho wa mtu, ndo elimu duni yenyewe kwenye elimu ya utambulisho wa mtu.
Kama lugha zikiingiliana unapoteza kabila la mtu, kwa nini hadi leo wapo wajita, wakerewe na wakara?