Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

Kwa maoni yangu, gharika kuu lilitokea eneo hilo tu...

Kwa sababu, kulingana na andiko hilo, gharika lile lilikuwa ni adhabu ya maovu waliyokuwa wakiyafanya watu wale.

Ni kama tu vile Sodoma na Gomora.

Kwa sababu, kama gharika lingekuwa dunia nzima, maana yake dunia yote ingegeuka na kuwa bahari, sasa maji yange drain kuelekea wapi?

Siamini kama gharika lile lilifika mpaka Iwalanje kule Mbeya, au Kazuramimba kigoma
Nashauri usijibiwe,

Maana wachigoma Kwa ubishi hamjambo,

Natania tu mtani!!
 
Wapagani (watu wasioamini uwepo wa Mungu) wameongezeka sana hapa jukwaani. Halafu Mungu mwenyewe anawa-zoom tu, aiseee! mtakoma siku hiyo.
 
Naomba kujuzwa ukubwa wa safina na idadi ya wanyama walio ingia. Walikula nini waliishije n.k
Kulingana na maandiko safina ilikuwa na urefu wa mikono mia 3 na upana wa mikono 50 kwenda juu ilikuwa mikono 30
 
Back
Top Bottom