Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 393
- 983
Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia, Uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha, safina ilienda kutua katika mlima huu!
we ni mtoto wa leo bado hujui mengiMi ndio nausikia leo.
Hizo ni hekaya Mkuu. Ni kama stori za Bulicheka au Alfu Lela Ulela. Hakuna gharika la ukubwa huo lililowahi kutokea duniani.Umaarufu wa mlima Ararat ulio mpakani mwa Armenia,uturuki na Iran unatokana na kwamba bada ya Gharika kuu kuisha,safina ilienda kutua katika mlima huu!
Kwa maoni yangu, gharika kuu lilitokea eneo hilo tu...Kabla ya hilo gharika waaafrika walikuwepo au hawakuwepo ? Wachina, wahindi wazungu nao wakikuwepo ? wanyama waliopo huku Afrika waliingiaje kwenye safina na walirudije huku Afrika kuendelea na maisha ?
Huko mashariki ya kati kuna viboko ,mamba au walichukua kutoka bara Hindi?
Kuhusu maji yalienda wapi umesoma biblia lakini?Kwa maoni yangu, gharika kuu lilitokea eneo hilo tu...
Kwa sababu, kulingana na andiko hilo, gharika lile lilikuwa ni adhabu ya maovu waliyokuwa wakiyafanya watu wale.
Ni kama tu vile Sodoma na Gomora.
Kwa sababu, kama gharika lingekuwa dunia nzima, maana yake dunia yote ingegeuka na kuwa bahari, sasa maji yange drain kuelekea wapi?
Siamini kama gharika lile lilifika mpaka Iwalanje kule Mbeya, au Kazuramimba kigoma
Tukumbushane mkuu, inasemaje kuhusu kipengele hicho?Kuhusu maji yalienda wapi umesoma biblia lakini?
Siyo kila mtu alipanda Safina bali ni nuhu na familia yakeTukumbushane mkuu, inasemaje kuhusu kipengele hicho?
Ila haya nimaoni yangu tu kulingana na ninavyoona...
Mfano fikiria, kama gharika ile ingekuwa ni kwa dunia nzima, Je ingewalazimu watu wa kwa mfano Nalyendele Mtwara, kufunga safari mpaka huko Ararati kwa ajili ya kupanda merikebu hiyo(safina)?
Au ndio glaciation period!Kwa maoni yangu, gharika kuu lilitokea eneo hilo tu...
Kwa sababu, kulingana na andiko hilo, gharika lile lilikuwa ni adhabu ya maovu waliyokuwa wakiyafanya watu wale.
Ni kama tu vile Sodoma na Gomora.
Kwa sababu, kama gharika lingekuwa dunia nzima, maana yake dunia yote ingegeuka na kuwa bahari, sasa maji yange drain kuelekea wapi?
Siamini kama gharika lile lilifika mpaka Iwalanje kule Mbeya, au Kazuramimba kigomanndio
Naomba kujuzwa ukubwa wa safina na idadi ya wanyama walio ingia. Walikula nini waliishije n.kSiyo kila mtu alipanda Safina bali ni nuhu na familia yake
Na mpaka maji kukauka ilichukua miezi mingi sana inaweza kukaribia hata mwakaa
i
Dunia ilijazwa maji siyo tu kwa mvua hadi chemichemi za bahari na vilindi sijui ndiyo nini labda maziwa zilifunguliwa kujaza maji duniani
Kwa hiyo baadae mvua zilikata na chemichemi zilifungwa
Usitafute logic sana hayo yalifanywa na Mungu siyo binadamu
Kwa hiyo baada ya gharika Nuhu na familia yake wakaijaza tena dunia? Asee stori zenu nyie watu!!Siyo kila mtu alipanda Safina bali ni nuhu na familia yake
Na mpaka maji kukauka ilichukua miezi mingi sana inaweza kukaribia hata mwaka