Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kabila la Ovahimba la kaskazini mwa Namibia mwanaume mgeni hukaribishwa na kukirimiwa kwa kupewa binti kufanya naye mapenzi kwenye familia aliyofikia? Kama hakuna binti hukabidhiwa mke wa mwenyeji wake!!!
 
mkuu kutoka tz mpk Namibia ni Tsh ngap nifunge safari nikaanze kula watt wa bure
 
hebu weka picha tuone. au una hide ID yake
47c7a713db324b642ff2734482ee24e8.jpg
 
Je wajua:
1. 70% mwanawake huvaa na kupendeza ili kuwaringishia wanawake wenzie? Na 30% iliyobaki ni ili wanaume wamwone?
2. Je wajua mchwa ndiye myama mwenye nguvu kuliko wanyama wote duniani? Huweza kubeba kitu kizito Mara 10 ya uzito wake.
3. Je wajua kuwa wanawake hawapati uchungu mkubwa sana wakati wa kujifungua ila huwa wanakuza tu ili kupata huruma ya matunzo kwa wanaume?
4. Je wajua kazi azipendazo mwanamke kuliko kitu chochote kuliko hata kazi za ofsini ni kupika, kufua na kuosha vyombo?
 
Uko vizuri Mkuu..!
 
Je wajua KICHONGEO cha kuchongea Penseli utakapokitumia na kisha kukipuliza (kuondoa Maganda ya Penseli) baada ya kukitumia ujue ndio umekiua Makali.

Yaani KICHONGEO hakitochonga tena
 
Je wajua:
1. 70% mwanawake huvaa na kupendeza ili kuwaringishia wanawake wenzie? Na 30% iliyobaki ni ili wanaume wamwone?
2. Je wajua mchwa ndiye myama mwenye nguvu kuliko wanyama wote duniani? Huweza kubeba kitu kizito Mara 10 ya uzito wake.
3. Je wajua kuwa wanawake hawapati uchungu mkubwa sana wakati wa kujifungua ila huwa wanakuza tu ili kupata huruma ya matunzo kwa wanaume?
4. Je wajua kazi azipendazo mwanamke kuliko kitu chochote kuliko hata kazi za ofsini ni kupika, kufua na kuosha vyombo?
Hiyo namba 3 nakataa aisee!uchungu unauma sana hauna maelezo
 
Tupite hapa walau tujifunze mambo mbali mbalii ambayo yapo duniani na yaliotokea duniani.

Hvyoo nakusihi Share nasi hapa mambo mapya ambayo tujifunza na Kuchanganua ubongoo.....
IMG-20180314-WA0037.jpg
IMG-20180314-WA0054.jpg
IMG-20180314-WA0052.jpg
IMG-20180314-WA0050.jpg
IMG-20180314-WA0042.jpg
IMG-20180314-WA0039.jpg
IMG-20180314-WA0024.jpg
IMG-20180314-WA0048.jpg
IMG-20180314-WA0032.jpg
IMG-20180314-WA0038.jpg
IMG-20180314-WA0053.jpg
 
Ukipigwa radi ngozi yako itapata moto hadi kufikia degree centigred 28elfu. Hili joto ni zaidi ya lile joto la uso wa dunia

Itachukua miaka elfu 70 kwa roketi kufika kwenye nyota iliyokaribu na dunia.

asteroids ilidhuru dunia na kuua ma dinasaur duniani. Lakini hakikuua jamii mbalimbali ya chura au salamander. Hakuna anayejua kwanini, hata mamba na kobe wali survive.

Ukichimba vizuri kabisa katikati ya dunia, halufu ukashusha tofali ndani. Itachukua dakika 45 kufika chini _ mile 45 kwenda chini.

Asali ni chakula pekee kinachotumiwa na binadamu ambacho hakitoki. Yaani kikiingia mwilini, chote kinaenda kurutubisha mwili.

Kila unapo piga chafya. Moyo wako wasimama kwa sekunde.

Neno “set” lina tafsiri nyingi kuliko neno lolote la kiingereza.

Huko space unaambiwa wale jamaa wanaoenda huko mwezini, hawawezi kulia kwasababu hakuna gravity.

Hummingbirds (siwajua kwa kiswahili) ni ndege pekee wanaoweza kupaa kinyuma nyuma.

Wanasayansi wenye kamera za mwendokasi, wameona kiwa tone la mvua haliko katika shape kama chozi au tone la maji ya bomba. Ila yanashape kama maandazi ya hamburger.

Mwaka 1907 watafiti wa chuo kikuu cha chicago walijua kwamba rangi ya njano ina tambulika zaidi kuliko rangi yeyote. Na ndio maana john hertz ambaye ni mvumbuzi wa taxi za njano.
 
Kula mlo kamili
Fanya mazoezi
Acha sigara
Acha pombe
Pata muda wa kutosha kupumzika/kulala
Acha uzinzi
udhuria ibada kanisani/msikitini
kunywa juice fresh /Maziwa

UTAKUFA TU
 
Back
Top Bottom