Doctor MD
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 210
- 250
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu
1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo)
2. Saikolojia ya mtu
3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa uzazi hivyo basi kuwa na magonjwa kama shinikizo la damu huweza athiri mfumo mzima wa afya ya uzazi na kupelekea mwanaume kutokuwa na uwezo mzuri wa kusimamisha uume na mwanamke pia kukosa hamu ya tendo la ndoa
Tatizo la saikolojia nalo linapeqa uzito sana katika kuhahakisha afya Bora ya uzazi Yani mwanaume awe na uwezo wa kupata hamu ya tendo la ndoa hivyo hivyo mwanamke kupata hamu ya tendo la ndoa. Mfano mtu mwenye msongo wa mawazo huweza kupelekea kuwa na afya isiyo Bora ya uzazi kwa sababu hupelekea usafirishaji wa kiwango kidogo Cha damu kupelekea sehem ya maungo ya uzazi
Tatizo l mfumo wa neva huweza leta changamoto katika mfumo wa afya ya uzazi kwa kuwa ni moja ya vitu vinavyo pelekea mtu kuwa na uwezo wa kuzalisha kwa muunganiko wa chembe za kikemia ambazo hupelekea homoni kuzalishwa na pia damu kusafirishwa ya kutosha kuelekea kwenye upande wa mfumo wa uzazi
Je unapata changamoto yoyote kuhusu afya ya uzazi??
Basi wasiliana nami kwa njia ya Whatsapp na njia ya kawaida kupitia 0757160773