Hoja ya kijinga kabisa!Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?
Ntinyiwena...Nipo kwenye Metro train muda huu hapa Johannesburg naelekea Kempton park, ingawa English ni lugha ya Taifa lakini wachungaji humu wanahubiri kwa lugha ya kizulu wanajuwa target yao ujumbe umfikie nani.
Wakati mwingine tujitahidi kuficha upumbavu wetu.
Lugha ya kabila langu sijui kuongea, huwa sipendi utumwa wa lugha isiyokuwa na ulazima kwangu.Ntinyiwena...
Iningi labo ukucabanga kwabo umthamo sincane kakhulu
Sina neno zuri la kukupongeza mkuu kwa maneno yako umenena vyema sana ila "like" yangu kwako imetoka ndani ya moyo wangu. "He might be anonymous physically but his IQ will never be anonymous" Thanx alot for that as. as a point na pia tujifunze kujivunia vyetu. Lugha yetu ya Kiswahili ina thamani na sasa hivi inakua na kusambaa kwa kiasi kikubwa sana. Tujivunie KiswahiliKwanza nenda kawaambia wachungaji wa Germany,Holland,Denmark wahubiri kwa kingereza na siyo kwa kutukia danish,Kigermany na kidachi
Sifa za fasihi simulizi
- tumia lugha inayoeleweka kwa hadhira
Unapotoa thread unaanika IQ yako jinsi ilivyo,unaweza kuwa anoynomous physically lakini IQ yako haiweze kuwa anoynomous
Ficha ujinga wako
ha ha ha ha...Sawa mkuu, wape Hi Gauteng bila shaka unafanya biashara ya magari.Lugha ya kabila langu sijui kuongea, huwa sipendi utumwa wa lugha isiyokuwa na ulazima kwangu.
Tulipata uhuru 1961. Yaani hadi leo bado unalilia Kiingereza? Nenda huko Kenya kajiunge na wenzako wanaosujudu Kiingereza; usitupotezee muda.Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?
Ili iweje.Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?
Kwani Yesu alihubiri kiingereza? Au kwa sababu ndio lugha kuu ya "biashara" duniani?Naangalia Citizen Tv, Church service at Nairobi chapel Ngong Raod. Wachungaji -Wahubiri wanabomoka kiingereza, fluent one.
Je wachungaji wetu hapa TZ wanaweza kumudu kuhubiri kwa kiingereza kama wenzetu hawa?