Je, uvaaji kofia ni kinyume na maadili ya mtanzania?

Serious mkuu unaonekana km mhuni..na kuna zile culture..wanaume wanazivaa sana zina bendera ya Tz..kwakweli nachefukwa sana..iko siku nitaunguza mtu mkono
Haaaaa.....chukulia kawaida mkuu, ila mimi nimeanza kuvaa kutokana na nature ya kazi yangu muda mwingi kuwa juani
 
Nakumbuka niliwahi kuvaa cap, Niko Taifa getini nasuburi kuingia uwanjani kucheki mpira, mama yuko kwenye gari kanicheki naludi home siku alisema ile sikuwahi kuvaa tena ila napenda mno.
 
Kuna kipindi hubby alinunua cap..nikamwambia mbn unavaa kofia unakuwa km mhuni mhuni vile..akaniambia ninaficha upara...sasa sk 1 kaivaa..boss wake akamu0na akamwambia na ww ushakuwa mhuni sasa kwann unavaa kofia..???toka pale akaacha..kwakweli mwanaume anayevaa kofia awe btn 30 -50 mimi kwangu namchukulia MUHUNI..hana tofauti kbs na mdada anayechomekea dera kwa nguo za ndani!
Jitafakari bestπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Shoga sio uhuni jua lina choma jomonii hadi bata wanaruka ruka badala ya kutembea,..☹japo hata mm sipendi man wangu avae kofia aisee labda kwenye mitoko flan hivi beach beach..na avae kwa mwaka mara moja usiwe utaratibu wake😎akivaa sana anaweza geuka abunuwasi bureeπŸ˜‚
 
Yes kuna maeneo mwanaume akivaa kofia haina tatizo sio kila siku
 
Shoga sio uhuni jua lina choma jomonii hadi bata wanaruka ruka badala ya kutembea,..☹japo hata mm sipendi man wangu avae kofia aisee labda kwenye mitoko flan hivi beach beach..na avae kwa mwaka mara moja usiwe utaratibu wake😎akivaa sana anaweza geuka abunuwasi bureeπŸ˜‚

Hahahaa inategemea na nature ya kazi yake..huyu hashindi juan.uhuni tu..yes atleast beach jaman ila inategemea na mkoa sasa..mm hapana jaman
 
Back
Top Bottom