je ushawahi tumia JOIKUSPOT light kuaccess internet kwa spid yj hatare?msaada plz

Hii yangu haiko rooted, lakini nkitumia samsung galaxy hotspot napata net vizuri tu.

haya mambo ya biashara hotspot ya samsung galaxy ni ya android na ya tablet ni android so wote wanatumia os 1 wakati joiku ni ya symbian.
 
Nimekupata chief, so hakuna njia ya kuitumia symbian hii kwa android?

njia ndo hio ya adhoc mkuu ambayo kuienable lazima tablet iwe umeiroot then ueke app ya kuienable

au ipo njia nyengine yakuenable kwa kuconect na pc nayo pia complicated

hebu google ''how to enable adhoc in android tablets'' then utaona njia zilizopo
 
Back
Top Bottom