July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
kuna sehemu sijui ni nimebugi,?maana kwa sasa nikiconnect,inaconnect fresh kwa pc.but inaandika "no internet access" why? Kuna solution hapa wakubwa? Natmia pc moja kwenye connection

iyo iyo light inapga kaz...angalia vzur acces point zko mbona kwangu ipo poa
mi nikiwapa link ya homepage munazingua maswali yenu wote hapa yamejibiwa kwenye website yao.
1. Make sure unatumia access point ya internet. Mfano iwe vodacom internet na isiwe vodacom wap maana wap inatumia proxy ambazo joiku ni ngumu kuzitumia.
2.samrich unaepata tatizo la unable to start ina maana kuna application tayari inaitumia hiyo wifi na hii ni sababu simu ina adapter moja ya wifi so at same time haiwezi tumika kureceive na kusend wifi. Joiku ina send wifi so close au disable application zinazotumia wifi kama whatsapp, nimbuzz na zifananiazo.
3. Mkuu mwanzisha thread joiku inaconect na ad-hoc tu so kama pc yako au tablet haina adhoc au imekua blocked huwezi conect solution ni kuienable.
-pia joiku light lazma uopen browser ili iload tangazo usipofanya hivyo vitu vyengine tofauti na browser havitafanya kazi.
nime diagonise problem kwa kutrouble shoot then ikakonekt, ikasema internet access ni available then "the DNS server isn't responding" je? dns server ndo ya aje!?maana kitu hakiload?
ushafungua browser na kueka adress yoyote? Umetumia access point isiyo na proxy? Zote hiza zina mahusianilo na dns
nimefungua google kwa kutmia internet explorer then inasema ."diagnose connection problem" na kule imerudi "no internet access
mtafte member wa jf wa karib na wewe akutengenezee maana ushaur wahapa ni wa kuguess sana
Kwangu bdo nkibonyeza start inandika un able
mi nikiwapa link ya homepage munazingua maswali yenu wote hapa yamejibiwa kwenye website yao.
1. Make sure unatumia access point ya internet. Mfano iwe vodacom internet na isiwe vodacom wap maana wap inatumia proxy ambazo joiku ni ngumu kuzitumia.
2.samrich unaepata tatizo la unable to start ina maana kuna application tayari inaitumia hiyo wifi na hii ni sababu simu ina adapter moja ya wifi so at same time haiwezi tumika kureceive na kusend wifi. Joiku ina send wifi so close au disable application zinazotumia wifi kama whatsapp, nimbuzz na zifananiazo.
3. Mkuu mwanzisha thread joiku inaconect na ad-hoc tu so kama pc yako au tablet haina adhoc au imekua blocked huwezi conect solution ni kuienable.
-pia joiku light lazma uopen browser ili iload tangazo usipofanya hivyo vitu vyengine tofauti na browser havitafanya kazi.
Kwangu kwenye pc inakubali ila kwenye tablet haidetect, zote light na premium hazkubali. Msaada nn cha kufanya.