Je, Unataka kuanzisha kituo cha radio?

Ila ninavyofahamu mimi issue ya hiyo redio imeathiri image yenu, sijui kama hilo mnalifahamu....
Imeathiri vipi image yetu? Hatujawahi kuingia mkataba naye wa kazi yoyote, hajawahi kutulipa hata tano kwa ajili ya kazi yoyote, tulimshauri na kumpa maelekezo ya namna ipi anatakiwa kufuata taratibu kuanzisha radio lakini hakufanya hata hatua moja, tumeharibu image kivipi mkuu? Na isitoshe hatujawahi hata kuonana naye ana kwa ana.
 
Niliwahi kutembelea Karatu na wakati niko huko ndio pakawa na kilichoitwa uzinduzi wa hiyo "Karatu FM", walialikwa mpaka viongozi wa serikali, na wakaombwa michango! mimi pia nilihudhuria nikiwa nimeambatana na kiongozi wa serikali. Baada ya kufika pale nikashtuka kidogo, baadaye nikazungumza na mmiliki akanionyesha documents mbalimbali zikiwemo za kwenu kama consultants wa hiyo project! Na katika maelezo yake akawa anawataja nyie kama ndio mmeshughulikia kila hatua!
 
T

Tulimtumia documents za quotation na gharama za kila hatua ya kazi. Hakuna kilichoendelea zaidi mkuu wangu.
 
Vifaa vya radio kwa gharama hyo ni kutoka wap kaka na je vinaweza kuhumili radio ya wilaya i meant fm radio ....maana niliskia kuna vifaa adi milion 5 lakin haviwez kua kwenye ushindani hata wa kiwilaya ...nasubir ushaur wako
 
Mkuu vinatoka Slovakia.

Vinahudumu wilaya nzima bila shida.
 
Na je kwa biashara ya radio za fm ukiweka kwa mkoa gani unapiga pesa?
 
1. Aina za Leseni za Radio Zitolewazo na TCRA.
2. Taratibu za Uombaji wa Leseni Hizo.
1072760186149483

3. Gharama ya Vifaa vya Radio.
4. Gharama zingine za ufundi, matengenezo ya studio n.k
5. Masuala ya wafanyakazi na mishahara yao.
6.Gharama za uendeshaji
7. Vyanzo vya mapato na makadirio ya mapato.
Outdoor.jpg
 
Back
Top Bottom