mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 783
- 1,236
What is the difference between a lie and manipulation?
Mkuu umenikumbusha "The Republic." Ambayo ndani ndo ina idea ya Allegory of the cave...Plato allegory of the cave.
Uwezo wowote ambao unaweza kuufanya kwa kuthibitisha hivyo hata kama unaweza kwenda mwenyew kuthibitisha kwamba kweli hicho wanachosema kina ukweli...Uwezo gani unaozungumzia hapa...?
Nimesoma lakini pia ili kuamini zaidi kuna experiment mkuu
Sana Mkuu hutengeneza Watu wasio kuwa na huruma,Wenye visasi na watu wasiojali kuhusu Wenza wao(wanawake/wanaume)..Psychological parental torture ni kitu mbaya sanaa
Kupitia setelite dunia ni duara na Sio Flat, majira ya SAA kutoka Bara moja Hadi jingine, yanavyotofautiana. Zipo facts nyingi Sana.Mkuu umewahi kufanya uchunguzi ukagundua ulichosema au kuna watu walikuambia Hivyo..
Kuna aina moja ya psychological manipulation sikuitaja Inaitwa Brain washing..
Hii humfanya mtu kuamini kwamba kinachosemwa ni kweli kwa kutengeneza Facts ambazo ni za kweli kwenye kitu cha uongo..
Ndo maana mpaka leo kuna Watu bado wanadebate kuna wanasayansi wengine wanasema Dunia iko flat wanajiita Flat Earth scientis na kuna wanaosema iko round..
Na mkuu Hizo theory za Mwanga and everything it was brainwashing mechanism kukuandaa kwa ajili ya kukubali baadhi ya theory kubwa
DR Mambo AMPUwezo wowote ambao unaweza kuufanya kwa kuthibitisha hivyo hata kama unaweza kwenda mwenyew kuthibitisha kwamba kweli hicho wanachosema kina ukweli...
Umewahi kujiuliza kwanini Report za NASA huwa ni classfied..
Au umewahi kujiuliza kwanini Scientific Reasech nyingi lazma ziendane na matakwa ya Hao
wanavyotaka.,
Zikienda tofauti wanazifungia na zinakuwa prohibited ....
Kitu unachokijua hakiitaji Imani Mkuu kinahitaji utambuzi..
Kwa mfano wazazi wako huwezi kusema "Naamini hawa ni wazazi wangu" Utasema najua au natambua'
Ukishaweka Imani kwenye swala la kujua.. tambua kwamba tayar wametengeneza kitu...
Experimental Figure zote zimatumia Sheria walizoweka na wakazifanyia Marekebisho kadhaa jaribu kuzifanya nje ya Mipaka yao kama zitafanya kazi Then uko sahihi!
Sio watu wenye imani pia hao ndio tuna waita poor brainer 😂😂😂😂😂😂Kupitia setelite dunia ni duara na Sio Flat, majira ya SAA kutoka Bara moja Hadi jingine, yanavyotofautiana. Zipo facts nyingi Sana.
Wanaosema duniani ni flat Sio wanasayansi walio fanya tafiti, Bali watu wenyewe Iman tu
Hapo kwenye majira ya SAA na Maanisha dunia kulizunguka jua, newziland jua linapochomoza, dar watu ndio wanaingia bar ,Kupitia setelite dunia ni duara na Sio Flat, majira ya SAA kutoka Bara moja Hadi jingine, yanavyotofautiana. Zipo facts nyingi Sana.
Wanaosema duniani ni flat Sio wanasayansi walio fanya tafiti, Bali watu wenyewe Iman tu
Kweli inashanga MTU kusema dunia ni kama disk.Sio watu wenye imani pia hao ndio tuna waita poor brainer 😂😂😂😂😂😂
Ubongo tope 😂😂😂
Waarabu Walianza kuja East Africa kipindi cha Karne ya 7 kwenye utawala wa (Ukhalifa wa) Ban umayya kwa miaka naweza kusema ni kwa makadirio 661 mpaka 750 C.E hivi, Lengo likuwa ni kuongeza eneo la kiutawala, kufanya biashara na kueneza dini.."Wazungu na na Waarabu" walianza kuja lini na wapi?
Unaelewa lini kuwa umefanyiwa "manipulation"?
Wakati mambo yanajionesha yenyewe aiseeeee...Kweli inashanga MTU kusema dunia ni kama disk.
😂😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍👍DR Mambo AMP kuna sehemu umesema , kuwa kama umezaliwa na wazázi wako basi kwamba Hao ni wazázi wako,
Ina maana kwamba mpaka umekubali kuwa ni wazázi wako , umekiona cheti cha kuzaliwa kikiwa na address ya tukio husika ,
Lakini unaweza ukapima DNA kuhakiki kama hawa ni wazázi wako
Psychological manipulation and lying are related concepts, ila haziko sawa kabisaWhat is the difference between a lie and manipulation?
Vijana wengi wanalelewa Katika familia za kitajiri, hawajuia asili, ni Bora Waka pima DNA ili kujua kama watakuwa ni warithi wa Mali za wazázi Wao.😂😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍👍
Hivi kweli unakaa na mtoto miaka yote,Vijana wengi wanalelewa Katika familia za kitajiri, hawajuia asili, ni Bora Waka pima DNA ili kujua kama watakuwa ni warithi wa Mali za wazázi Wao.
Kuna ndugu yangu alisomesha mtoto Tanganyika international school, alafu chuo akampeleka Cambridge UK degree and master's, lakini baadaye alihisi kuna kitu Sio hakiko sawa, Bana tokeo la NDA linakuja mtoto Sio wake🥺, msure alichoka kinoma Yan
Mtoto kafana na mama, 👈kuwa makini na statement, wanaume wengi wanaingia kingi Kwa hii statementHivi kweli unakaa na mtoto miaka yote,
hata ile physical genetic make up kusema weee huwoni
Mkuu umenikumbusha "The Republic." Ambayo ndani ndo ina idea ya Allegory of the cave...
Japo plato kuhusu Manipulation alibase katika side moja Kwamba tumekuwa brainwashed Since tunazaliwa nakufundishwa vitu na tumekuwa chained na system wanayotaka tuwe tumezuiwa kufanya baadhi ya vitu kwa kuwekewa uoga,Ubaya na Marufuku..
Na sisi kama wafungwa tunaamini kwamba hiyo ndo reality yetu kwa sababu ndo upande tunaoujua...
Huku Upande ule wenye ukweli ukiendelea kufichwa kwetu
Hongera sana mkuu kuongezea Nyama