DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,420
- 25,600
Dah Mkuu Umemaliza kila kitu Umeongea Ukweli mtupu sana🎉🎉Hii psychological manipulation ni jambo kubwa sana na linamhusu kila mtu dunia nzima, watu wote duniani watakuwa psychologically manipulated kwa namna moja au nyengine, ili binadamu aweze kuishi kwa Amani na wenzake ni lazima awe manipulated psychologically. Wanaotu-manipulate wanaamini hivyo
Kwa mfano hio aina ya gaslighting, inayomfanya binadamu atilie Shaka hisia na mawazo yake.
- Sote dunia nzima tumeaminishwa dunia inazunguka na tunaamini lakini hakuna mtu aliewahi kuihisi dunia ikizunguka, kwa maana hio hatuziamini hisia zetu kuwa haizunguki kwa sababu we have been manipulated kuamini kuwa hisia zetu haziwezi kunasa speed za dunia.
- pia tumeaminishwa kuwa kuwa jua lipo mbali sana lakini ukiinua uso jua lipo juu ya utosi na unaliona kabisa kuwa hakipo mbali lakini tumeaminishwa kuwa liko mbali sana, na tumebaki kuwa hatuziamini hisia zetu kwa sababu we’ve been manipulated ili tuamini tunavyoambiwa zaidi kuliko hisia zetu.
Au mfano mwengine uliotoa wa guilt-tripping
Hii aina ya manipulation inatuumiza sana binadamu sote, hii imekuja kupitia dini zetu, eti kuna mtu wa mwanzo Anaitwa Adam Aliambiwa asile tunda na akala baada ya kula watu wote duniani wakawa wana makosa kwa sababu yake, kwa hio watu wanaozaliwa duniani wote wamekosea na wanahitaji kuokolewa na kuna mtu mwengine anaitwa issa/Jesus/yesu yeye ndio anakuja kuwaokoa watu kutoka kwenye makosa hayo ya asili.
Haya yote sio kweli ni mambo ya kutunga tu ila kwetu sisi tusio jua tunaamini kuwa ni ukweli kwa sababu we have been psychological manipulated
Kwa ufupi misingi yetu ya kimaisha yote imejaa manipulation, kuanzia dini, elimu,science, pesa, n.k vyote hivyo vinatuingia katika mfumo wa utumwa lakini kwa sababu tunaingia utumwani kupitia manipulation tunakuwa hatujui na tunakuwa tuna furahia kuwa watumwa bila ya kujijua
Mkuu umewahi kufanya uchunguzi ukagundua ulichosema au kuna watu walikuambia Hivyo..Duuuh.....
Unaposema ishu ya jua na dunia kuzunguka..
Wanasema uwezi amini milango yako ya fahamu bila kufanya uchunguzi.
Mfano rula unapoiweka kwenye kopo la maji ukiangalia inaonekana kama imepinda.
Sasa mtu atakapokuambia ile rula haijapinda ila ni ni effect ya mwanga napo utasema kuwa amefanya gaslighting au ?
""""Mkuu umewahi kufanya uchunguzi ukagundua ulichosema au kuna watu walikuambia Hivyo..""""Mkuu umewahi kufanya uchunguzi ukagundua ulichosema au kuna watu walikuambia Hivyo..
Kuna aina moja ya psychological manipulation sikuitaja Inaitwa Brain washing..
Hii humfanya mtu kuamini kwamba kinachosemwa ni kweli kwa kutengeneza Facts ambazo ni za kweli kwenye kitu cha uongo..
Ndo maana mpaka leo kuna Watu bado wanadebate kuna wanasayansi wengine wanasema Dunia iko flat wanajiita Flat Earth scientis na kuna wanaosema iko round..
Na mkuu Hizo theory za Mwanga and everything it was brainwashing mechanism kukuandaa kwa ajili ya kukubali baadhi ya theory kubwa
Kwa mfano ulicho doubt kuhusu Alichosema mchangiaji kabla kuhusu dunia kuzunguka Jua..""""Mkuu umewahi kufanya uchunguzi ukagundua ulichosema au kuna watu walikuambia Hivyo..""""
Kitu gani kwa mfano...?
Facts ni Kitu au hoja iliyokuwa proved kwamba ni ya ukweli..."""Hii humfanya mtu kuamini kwamba kinachosemwa ni kweli kwa kutengeneza Facts ambazo ni za kweli kwenye kitu cha uongo.."""
Nini maana ya fact...?
Yeah mpaka leo hii navyoongea na wewe zipo na kuna moja Juzi walikuwa wanabishana kuhus kutokea kwa thunder and thunderstorm kuwa kunaprove that dunia Ni Dom iliyoflat settled na sio Duara..."""Ndo maana mpaka leo kuna Watu bado wanadebate kuna wanasayansi wengine wanasema Dunia iko flat wanajiita Flat Earth scientis na kuna wanaosema iko round.."""
Unefuatilia kuwa hizo deabate mpaka leo zipo..???
Karibu kwa maswali kama yapoNaweka Kambi hapa Uzi uendelee hiv hivi kabla Wavuta Bangi hawajauharibu
"Wazungu na na Waarabu" walianza kuja lini na wapi?Habari Za Muda huu wanajamvi!
Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation).
Kwa kwa kuanza
Nini maana ya Psychological Manipulation?
Psychological Manipulation ni aina ya ushawishi ambayo hutumia Udanganyifu ama ulaghai,au mbinu nyingine yoyote kudhibiti mawazo, fikra,hisia au tabia za mtu mwingine kwa madhumuni mengi ikiwemo kupata Nguvu ,au udhibiti juu ya mtu mwingine,ili afanye jambo ambalo hataki kufanya au kumfanya ajisikie tu kufanya jambo hilo kwa namna moja ama nyingine....
Kuna aina nyingi Sana za Psychological Manipulation ila kwaeo nitadeal na Aina chache tu kwa siku ya leo..
Gaslighting hii inahusisha na kumfanya mtu atilie shaka hisia zake, Imani yake, atilie shaka fahamu wake wa jambo katika uhalisia wake ,mtazamo wake na hata kumbukumbu zake..
(Mtanisamehe kwa watu wa Dini maana mfano wa kwanza utakuwa wenu)
Hapo zamani waafrika walikuwa wakiamini katika dini zao kabla ya kuja kwa wakoloni (Waarabu na wazungu) na kuweka Mashaka mengi katika dini zao na Miungu yao na kuwafanya Wao waache dini zao za asili na kuanza kufata dini mpya...
Au mfano wa pili..
Zamani Tulikwa na Elimu Zetu ambazo watoto walirithi kazi na ujuzi kutoka kwa babu na baba zao nyumbani kwa mfano baba alikuwa mvuvi hivyo alimfundisha mwanae uvuvi au Baba akiwa mhunzi alimfundisha Uhunzi mwanae au baba au babu akiwa Mganga alimfundisha mwanae uganga na kila familia ilifahamika kwa ujuzi fulani kutkana na elimu ya kurithishana kabla ya kuja wazungu na kutuwekea mindset ya Gaslighting na wakaita elimu hiyo kuwa ni Informal Education na wakatuletea Pyramid Education na wakaiita Formal education...
INAENDELEA......
Soma hapa jwa muendelezo