Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,306
- 25,929
Haya,fanya kazi!Lawyer gani wewe? mbona mapovu sana?
Mimi ndiye niliyeandika hiyo thread. Usimdangaye eti nimeedit. Kwanini huku quote ili iwe evidence yako? Tayari hapa ume fail.
Haya,fanya kazi!Lawyer gani wewe? mbona mapovu sana?
Mimi ndiye niliyeandika hiyo thread. Usimdangaye eti nimeedit. Kwanini huku quote ili iwe evidence yako? Tayari hapa ume fail.
Haya,kunywa maji na ufanye kazi. Endelea kuota!Why take it personnel Mkuu, kukosolewa ni sehemu ya jamii forum, but you seems to think otherwise or have other ideas, and I won’t stop that as long as I’m given that permission to do so, have a self con straight Mkuu, usiite watu mbumbumbu, lakini hujasema au to clarify huo umbumbumbu wao up to now.
Kuhusiana na comment yako, si mimi tu nipo ktk majority waliokukosea, mimi si lawyer by the way and matter of fact I don’t want to be one but I have huge respect for the profession ,I’m just a very well informed individual , a big Fan of facts and less hisia to be honest, my comment shouldn’t have bothered you a bit, but you seems to be sort of , irritated by them, why ?? I tend to agree to disagree kwa hapa umechemsha that’s a Big FACT.
Now here is my advice Mr. Lawyer
I personally think you should have done one or two,
01. Quote him on what he/she said, and provide your feedback and clarity what you think of the interpretation of the section, and probably give us even more of sub section(s) to counter that, yaani tupe darasa la kisheria.
Or
02. You should have gone back and delete the comment, filled with emotions yaani mhemko.
But, you have done neither, but again you will earn my respect, if you have choose the first option!
Lakini bado tunasubiria darasa lako, hatujakata tamaa..........
Basi nakusihi soma hapa sasa ili kidogo upate mwanga.
View attachment 484595[/
Mkuu umenena vizuri sana! Wapinzani wanaodai kuwa Rais anavunja katiba ya nchi, cha kushangaza hakuna MPINZANI hata mmoja hata huyo wanayedai kuwa ni mwanasheria wa chama ambaye anajaribu kuwaeleza wananchi kwamba Rais anavunja vipengere kadhaa vya katiba ya nchi. Wao wanachokifanya ni vichekesho tu. Katiba ipo na wanayo, lakini hawataki kuwaeleza watanzania ili na wao wavijue hivyo vipengere vinavyovunjwa na Rais. Wao wanaishia tu kuwa Rais anavunja katiba. Wapinzani ebu tuelezeni ni sehemu ipi ya katiba ya nchi inavunjwa?? Rais Magufuli yeye amekuwa mzalendo kwa kufuata kila killichoelekezwa na katiba.