Je, Unafikiri au unasikiliza mawazo yako mwenyewe?

Bob Manson

JF-Expert Member
May 16, 2021
3,887
7,179
20240827_181616.jpg

Nusu ya muda unaodhani unafikiri haufikiri bali unasikliza mawazo yako mwenyewe kichwani mwako, kufikiri sio jambo jepesi ambalo kila mtu anaweza kufanya.

Kufikiri ni kitendo cha namna gani? Ni vipi tunaweza kufikiri na sio ku imagine au ku visualize?

Karibu tufikiri pamoja kuhusu hili......
 
Namna kichwa kinafanya kazi ni kitu cha ajabu sana. Imagine umekaa chini na unaandika vitu vipya lakini vitu vinaflow tu pasipo muda wa kufikiri

Lakini kuwa na muda wa kujisikiliza zaidi inategemeana na asili ya mtu. Kuna watu extroverts ambao wao muda mwingine huchangamana na watu wengine ili wapate ile stability ya kiakili na kihisia.

Huku kwa upande mwingine introverts huzungumza na nafsi zao zaidi kuliko wanavyozungumza na watu wa nje kutokana na asili yao ya kutopenda kuchangamana na watu
 
Introvets ni watu hatari zaidi duniani.
 
Mkuu lakini kila mtu ana uwezo wa kufikiri, ni sababu gani humfanya mtu kushindwa kufikiri na kuishia kujisikiliza nafsi yake mwenyewe?
 
Hilo ni swali philosophical, kufikiri ni nini na kuisikiliza nafsi ni nini

Maana zote ni inner thoughts ila ni kwa vipi mtu anaweza zitofautisha
 
Sawa mkuu, basi naomba utofautishe japo kwa ufupi tu nipate kujifunza
 
Kweli kifikiri sio jambo jepesi kwababu ukiamka mida ya saa moja asubuhi jua lipo kariabia kuzama, utatambua god is able to Enable the unable to be able.
you have a thought in your mind about what i'm thinking, is that what i'm thinking or is what you're thinking am thinking?
 
Sawa mkuu, basi naomba utofautishe japo kwa ufupi tu nipate kujifunza
Kuielewa quote nadhani inamaanisha

Mfano wewe ukiwa unapitia shida, una option ya kumuelezea mtu ili akupe ushauri lakini option nyingine. Ni wewe kukaa chini kutafakari hadi upate solution

Sasa inakuwaje unapokaa kimya kwa ajili ya tafakari huwa unapata majibu?.. Hapo inamaanisha badala ya kumsikiliza mtu, unakuwa unaisikiliza nafsi yako

Unakuwa una inner conversation baina yako na nafsi yako. Hivyo tafakari ni kitendo cha kuisikiliza nafsi yako inasemaje katika suala flani. Mm ndo nilivyoelewa
 
Back
Top Bottom