jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa ushindi wa Kamala Harris.
Nini maoni yako?