Je, una mke/mume? Changamoto gani uliwahi kukutana nayo katika ndoa yako?

Lakini pia msimamo wa baba mwenye nyumba ni mhimu sana mke anatabia moja ukifunga ndoa tuna kuna vitu anajeribu kwako ukivirushu kwake ni sheri

Mfano mda wakurudi home ukiwa kila siku ni mtu wa kurudi mapema kila siku .siku tu ukichelwa kwake ni shida

Anatakiwa usiwe na ratiba maalum ra kurudi
.ukianza kukwambia kitu kwa sauti ya ukali kwambali ukairushu anajenga huy

u nimkomesha

Oi
 
Pia ukiona kila akipanga safari yake hakwambie leo atakwambia kesho hio hio amejiandaa au kabla ndiyo anakupa tarifa akimruhusu

Kwenda basi anatakiwa asiende akavue nguo zake aweke ndani

Hakuna safari hapo akienda kwa maamzi yake ukirudi mpe kichapo ndani kwandi bila jirani kujua

Wa watoto siku nyingine hafanyi hivyo tena

Pia lazima ajue haja kuzaa tu hapa amekuja tuungane kufanikisha maisha yetu wote

Siyo kila kitu ww haipo hiyo kwa wanawake wa sasa
 
Hii yangu nahisi wengi huwa inawakuta ,Ila ngoja nichangie na wadau tupate faida kwa wote.

Kuna lipindi mdogo wangu wa kike alikuwa anaumwa halafu kwa bahati mbaya aliachwa na mume wake.Akaniomba aje kwangu ajiuguze ukiangalia mimi ndio kaka yao mkubwa . Nikamwambia wife kuwa wifi atakuja hapa kujiuguza kwa muda so jiandae kumpokea .

Alinivunja moyo sio siri alidai kuwa yule alishaolewa na anasheria zake za familia yake so akija hapa tutaanza kukinzana kwani hatoweza kuishi kwa kunifuata mimi. Nikicheki sehemu ya kulala ipo kwa sababu wadogo zake huwa wanakuja na wanakaa zaidi ya mwezi lakini sijawahi kujisikia vibaya. Ila kwa hili roho iliniuma sana kwa sababu dogo nilishamwambia aje halafu mke wangu hataki.

Mwisho akaniambia nichague moja kama atakuja mdogo wangu yeye arudi kwao .Nikazidi kuvurugwa ikanibidi nimshirikishe mama yake mama yake nikaona anaegemea upande wa binti yake.

Nikaenda kwa mdogo wangu nikamwambi kule kwangu hakuna mtu wa kukuangalia kwa ukaribu zaidi so nitakutafutia house girl akutunze hapa nyumbani(Alikuwa amerudi kwenye nyumba ya marehemu baba).

Ila nikakaa na mke wangu nikamwambia kuanzia leo wewe na mimi tutaishi wawili tu hapa sihitaji kuona ndugu yako wala ndugu yangu ili kusiwe na upendeleo na ikitokea akaja ndugu yako nitamdhalilisha mbele yako.

Na yeye akaenda kushitaki kwa mama yake. Nikaitwa na nikatoa maelezo nikamwambia mama sisi wote tunafamilia nyuma yetu ndugu yangu ameshindwa kuja kuugulia nyumbani kwa sababu nyepesi sana leo hii mimi nitajisikiaje akija ndugu yake yeye wakati mimi ndiye mtoa huduma, wakaniomba radhi . Na mdogo wangu alikuja pale kwangu akaugua mpaka akapona na maisha yanaendelea vizuri.

Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana..
Hapo ulitumia uanaume haswaa maana hawa ukiwaendekeza wanakupanda kwa kichwa
 
Pole sana na safi sana kwa ujasiri na msimamo wako uliouonyesha kwa familia ya mkeo.
 
Ukiona mke wako anamarafiki wengi half wote negativu jua hapa atakuwa na maadili ya kiswahili tu
Mwisho atakuwa na walimu wengi
Sana wa kumfundisha mame na mabaya kwanza mwambie lazima achague marafiki
 
Back
Top Bottom