Je, umewahi kukutana na binti mnayejuana lakini akukeletea dharau kutokana na alivyo?

Daa neelewa Sana hii, hasa point namba moja, unakutana na binti, wew umependeza Sana tu, lakin yeye ana act kama hakuon wala hakupi sifa zako, zaid zaid anaweza kumsifia rafik yako wa pemben ili we uumie. Sijui kwa nn hii

Kwani lazima usifiwe mkuu? Mwache amsifie anaedhani anafaa kusifiwa hata kama anakukomoa! Infact kusifiwa hakuongezi wala kupunguza kitu!
Acha Wasifiane
 
Back
Top Bottom