Je umeisha wahi kufikiri kuwa Tanzania inaweza kugeuka??

Well said, kwenye biblia kuna mtu alifanya bidii akapata mazao ya kutosha akauambia moyo wake utulie na ufurahie kazi za mikono yake. Mungu akamwambia ******** wee hujui usiku wa leo naihitaji roho yako..... Hakuna mwenye wa uhakika wa kuiona dakika ijayo licha ya kesho.

Miss you....

mashabiki wa JPM wao wanataka sheria ibadilshwe pasiwe na uchaguzi hata next 20 years...
hawajui Mungu nae ana mipango yake ndani ya hiyo next 20 years
 
Wanaoabudu watu kama mitume wanaweza kusema mtu aendelee hata milele.
Isssue si mtu bali namna mlivopanga kujitawala na malengo yenu. Marekani muda mrefu wa kiongozi ni miaka 8 tu na wameendelea. Afrika tunaoota hata misukule na kukemea mapepo bado tunawaza mtu mmoja. ni kama evolution kwetu haijakamilika kwenye bongo zetu.
 
Sisi walalahoi vilio vyetu vya msingi sio la mtawala atakaa kwa muda gani kwenye kiti cha enzi bali huyo mtawala atatufanyia nini sisi watawaliwa.....ikiwa sisi ndi walipa kodi....basi tunaka mtawala atuhakikishie huduma muhimu za kijamii kama vile....upatikanaji wa huduma bora za afya.....upatikanaji wa maji safi na salama ya kutumia sisi walalahoi.......watusaidie kupambana na rushwa ili tusiwe tunanunua haki zetu au kudharauliwa na wenye navyo.....
Kutuboreshea miundombinu ya bara bara na umeme..,,,
Bila ya kusahau ulinzi na usalama kwenye mali zetu.......

Na hata vilio vyetu vya kutaka mtawala aondoke ni baada kutokea kwa matatizo hayo.....
Tutakuwa tumejikomboa kama tutaikana hii dhana ya ulala hoi. Kwa nini, kwa sababu kwanini! yaani unalala hoi pembeni kuna mto unatirirka muda wote, mvua ipo, ardhi ipo, bahari ile pale.
Mhuimu kuliko vyote ni kuweka utaratibu wa kuendesha mabo yetu na kutumia rasilimali zetu na si mtu ambeye roho yake haina bima japo mwili unaweza kuwa na bima!
 
Nakaa nawaza kwa Sauti je??pale ikitokea kuwa tuongeze mda wa kukaa madarakani urais iwe miaka 20,Je kwa Utawala tulionao kuna mtu atakataa?nini mawazo yako?Maana tuliambiwa siasa mpaka 2020.Nini maoni yako.
Mkuu, hoja yako ni nzuri sana tena haitaki papara kuijibu taizo baadhi hawajaielewa. Ila swali lako moja linaloishia na ... kuna mtu atakataa? Ni kama unalenga kuwa utashangaa kama watakataa labda nimeelewa vibaya mkuu wangu
 
Hakuna anaejua kesho
hata mtu akitaka kutawala miaka 100 bado still kesho hakuna anaejua itakuaje...
kuna so many surprises daily......
Sio kwa Tz, mkuu hii nchi kuna watu wana hati miliki huezi badilisha chochote..
Mi nakuhakikishia wakiamua kufanya chochote kile wanaweza na nyie wananchi hatutawafanya chochote...
Ndio maana nadhani kuna haja ya wananch kukubali kubadilika kwanza otherwise wategemee miujiza ya ali-nacha.
We are indeed cased..!!!
 
Mkuu, hoja yako ni nzuri sana tena haitaki papara kuijibu taizo baadhi hawajaielewa. Ila swali lako moja linaloishia na ... kuna mtu atakataa? Ni kama unalenga kuwa utashangaa kama watakataa labda nimeelewa vibaya mkuu wangu
Mkuu uko sawa ila nawaza kwa sauti kuu tu mkuu!
 
Niliwaza sana maana kama analeta wataalamu wa TRA na kashauri ununuzi wa ndege za panga boi uoni nimengi yanawezakufatia¿??Zile ndege humpandishi mzungu,Wazungu wameaminishwa ndege ni jet.
Siku jua hili, kumbe ndege za hvyo hizo! Kwa hiyo hawa washauri wa kinyarwanda hawajaona hili? Maana naskia wao ndyo role model kwenye mradi huu.
 
Back
Top Bottom