Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Sijawahi kuaibika sehem mbaya siku zote niko low-key huwa sina tabia za ujuaji au kupenda kuoekana kwenye crowd , yani hata niwe nafaham kitu na nione kuna mtu analeta ujuaji huwa simrekebishi na mimi namsikiliza alafu nafata mishe zangu
Safi sana na ndo inavotakiwa japo kuna sehemu lazima uwe high
 
Back
Top Bottom