Je Ulikueko enzi zetu?

Nilikuwepo ila mie nilikuwa bize na sikupenda vitu vya kitoto wakati huo....zangu mimi ilikuwa kuwa-do wasichana viwanja vya shule usiku kisha asubuhi nawahi kuhamka na kwenda eneo la tukio kuona kama demu alijikojolea na kumwaga shahawa mchangani.
 
Enzi za kuuza bagia za kunde shule
Unaloweka unatwanga kwenye kinu unakaanga
Unaenda kuuza shule hela haionekani
Ukirudi nyumbani kichapo
Paprika namimi nilichapwaga
 
Enzi za Sket ya shule primary kushona kwa vitambaa vya tetroni nasio koshbo za kileo lol

Pia Kulikua na mavitambaa fulani hivi magumuuu hata pasi upigeje hayashiki
 
Ahaa ok huwa nachanganya songea ruvuma na mtwara
Nimekupata
Songea ni moja ya wilaya za mkoa wa Ruvuma... kuna mikoa, hakuna wilaya yenye jina la mkoa, na watu inawachanganya sana.... mfano Ruvuma, Dar es Salaam, Kilimanjaro etc
 
Nakuja unifundishe unavyojua

Ntakufundisha hii yote kwa kiswahili unanifundisha vyakule kwa kichina kina xhida xha xhuu
Wee andaa muda tu michezo haihitaji hasira lakini

Hahahaha... acha ach acha acha kabisa...

# Ssshhhh ongea kwa kunong'ona #
 
Umewahi wekewa kioo chini mkiwa mstalini?? nilidakwa siku moja

Sana tu miye teinaaa.
Shuleni kwetu Kulikua na mchezo fulani hivi unaandika jina la mwalimu unamkalculetia herufi zake mwisho unapata jibu
Kulikua na options ya majibu
1. Mjinga
2. Kichaa
3. Mchawi
N.k

Sasa kuna siku tulibambwa mimi na shogangu mmoja aliitwa Eva tulimpigia hesabu mwalimu mkuu
Kichapo chake sasa na adhabu juu hebu pata picha
Tulilima miraba kwenye shamba la shule mpaka mikono ikatoa malengelenge
 
Enzi zao hizo, huku wakiwa na vibegi vya sports na slang za kinyamwezi.. no yes yes come again... etc etc... yeah yeah...

Safiiiiiii sana Super dear kumbe unajua

Na my clear bag ukiwa nayo Wee mjaa
Enzi hizo madaftari kwenye Rambo mweh ukiwa na my clear bag utaweka karibia nusu darasa zima madaftari
Wale mnaokaa nao mitaa ya karibu wooote wanaweka madaftari kwako afu wanabeba kwa zamu
Wewe hata huangaiki kubeba
 
Hahahaha... acha ach acha acha kabisa...

# Ssshhhh ongea kwa kunong'ona #

Nanong'ona kama si kufunga kabisa domo langu

Tutaanza mchezo mmoja baada mwingine
Si unakumbuka nilikwambia nitaanza na wapi wapi wapi na kumalizia na wapi??
Unakumbuka??
 
Ni kweli Kuna watu hawayajui kabisa hayo
Hasa wale wa kishua wale au wale waliozaliwa manchi makubwa kubwa huko wakakulia na kusomea huko

Labda nao waje watupe michezo ya kitoto / kishule / ya kishua yahuko nchi za watu nasi tujue

Smart911

Kho' kho' kho' kwenye summer na winter... Winter ni kujifunika mpaka meno, summer ni mwendo wa vichupi tu... kwenye shule ambazo hamvai sare za shule, mkivaa sare ni nguo za michezo... kwenye outdoor and indoors sports... after school mnaenda kujikusanya kwenye viwanja vya mitaa vya basketball mki show off... mkijulikana wewe na fulani mna date kila mtu respect mpaka mki breakup... ukifanikiwa kumkiss mwanamke ndiyo ... and it remains like that..

Wenye kupenda turth and dare games... unaambiwa useme ukweli wako wowote au ufanye chochote kwa vitendo... mchezo pendwa mwingine ni spinning the bottle huu ndiyo balaah... ukileta rafiki wa kike nyumbani wazazi wanachukulia ni rafiki na msishangae mkajikute kwenye nyumba mmebaki peke yenu... same kwa mwanamke akipeleka rafiki wa kiume...

# Najisemea tuu... hahahaha nacheka kwa dhaaaraau...#

cc: mahondaw
 
that moment unapogombana na rafiki yako eti kwasababu ulimnyima kitu chochote ulichokuwa nacho halafu rafiki kamaindi anakwambia km vp urafiki uishe kwahyo mnapingulia urafiki na ushoga kushnehi.... unakuwa mwenyewe na ukiona yamekushinda bac mnaenda kupinga tena eti ndo mna renew friendship.. utoto wa enzi hzo hatari saaaaana
 
Kho' kho' kho' kwenye summer na winter... Winter ni kujifunika mpaka meno, summer ni mwendo wa vichupi tu... kwenye shule ambazo hamvai sare za shule, mkivaa sare ni nguo za michezo... kwenye outdoor and indoors sports... after school mnaenda kujikusanya kwenye viwanja vya mitaa vya basketball mki show off... mkijulikana wewe na fulani mna date kila mtu respect mpaka mki breakup... ukifanikiwa kumkiss mwanamke ndiyo ... and it remains like that..

Wenye kupenda turth and dare games... unaambiwa useme ukweli wako wowote au ufanye chochote kwa vitendo... mchezo pendwa mwingine ni spinning the bottle huu ndiyo balaah... ukileta rafiki wa kike nyumbani wazazi wanachukulia ni rafiki na msishangae mkajikute kwenye nyumba mmebaki peke yenu... same kwa mwanamke akipeleka rafiki wa kiume...

# Najisemea tuu... hahahaha nacheka kwa dhaaaraau...#

cc: mahondaw
Safi sana
Nje nje ni nje tu
kibongo bongo utoto ulete mtu eti mbakie
Wawili tu chumbani hizo bakora zakeeeh
 
Back
Top Bottom