Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 #1 Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 26,047 74,872 May 5, 2024 #2 Sijui kama nitakujibu vizuri. Ila ningeuliza: Nani analipa ilo deni? Wewe au ofisi?
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #3 Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?
Je, Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB?
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #4 Mad Max said: Sijui kama nitakujibu vizuri. Ila ningeuliza: Nani analipa ilo deni? Wewe au ofisi? Click to expand... Ni Mimi mkuu
Mad Max said: Sijui kama nitakujibu vizuri. Ila ningeuliza: Nani analipa ilo deni? Wewe au ofisi? Click to expand... Ni Mimi mkuu
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #7 Aisee kwa hizi take home za 500k ngumu sana kumudu tuition fee ya 5.6m kwa mwaka
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #9 Ada ni kubwa sana (MD) kumudu ni changamoto.
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 26,047 74,872 May 5, 2024 #10 Tyanyi said: Ni Mimi mkuu Click to expand... Hapo unaomba tu mkuu, na unapewa. Kazini kwetu madogo wengi tu wameomba na wamepewa. Mwajiri wako hayamuhusu, anaweza ajue au asijue kama uneomba mkopo.
Tyanyi said: Ni Mimi mkuu Click to expand... Hapo unaomba tu mkuu, na unapewa. Kazini kwetu madogo wengi tu wameomba na wamepewa. Mwajiri wako hayamuhusu, anaweza ajue au asijue kama uneomba mkopo.
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #11 Mad Max said: Hapo unaomba tu mkuu, na unapewa. Kazini kwetu madogo wengi tu wameomba na wamepewa. Mwajiri wako hayamuhusu, anaweza ajue au asijue kama uneomba mkopo. Click to expand... Vipi kuhusiana na kigezo no.(vi) maana nimehitimu chuo 2018. Attachments Screenshot_20240505-173539.png 59.5 KB · Views: 26
Mad Max said: Hapo unaomba tu mkuu, na unapewa. Kazini kwetu madogo wengi tu wameomba na wamepewa. Mwajiri wako hayamuhusu, anaweza ajue au asijue kama uneomba mkopo. Click to expand... Vipi kuhusiana na kigezo no.(vi) maana nimehitimu chuo 2018.
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 26,047 74,872 May 5, 2024 #12 Hapo siwezi kusema, ila jaribu mkuu. Ni mkopo sio msahada si utawalipa.
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #13 Mad Max said: Hapo siwezi kusema, ila jaribu mkuu. Ni mkopo sio msahada si utawalipa. Click to expand... Shukrani mkuu kwa msaada wako ngoja nisubiri wakati wa mchakato ukifika
Mad Max said: Hapo siwezi kusema, ila jaribu mkuu. Ni mkopo sio msahada si utawalipa. Click to expand... Shukrani mkuu kwa msaada wako ngoja nisubiri wakati wa mchakato ukifika
S Soulja boy JF-Expert Member Oct 3, 2015 3,848 6,981 May 5, 2024 #14 Tyanyi said: Vipi kuhusiana na kigezo no.(vi) maana nimehitimu chuo 2018. Click to expand... Wanapewa tu mkuu jamaa zangu tunemalza 2022 walipata wengi wengine walipata 100%.
Tyanyi said: Vipi kuhusiana na kigezo no.(vi) maana nimehitimu chuo 2018. Click to expand... Wanapewa tu mkuu jamaa zangu tunemalza 2022 walipata wengi wengine walipata 100%.
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #15 Soulja boy said: Wanapewa tu mkuu jamaa zangu tunemalza 2022 walipata wengi wengine walipata 100%. Click to expand... Waliomaliza 2022 walikuwa ndani ya muda mkuu
Soulja boy said: Wanapewa tu mkuu jamaa zangu tunemalza 2022 walipata wengi wengine walipata 100%. Click to expand... Waliomaliza 2022 walikuwa ndani ya muda mkuu
yellow java JF-Expert Member May 3, 2022 1,202 2,207 May 5, 2024 #16 Unapata bila tatizo lolote lile ila kwenye kulipa deni hatuhitaji usumbufu...
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #17 yellow java said: Unapata bila tatizo lolote lile ila kwenye kulipa deni hatuhitaji usumbufu... Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
yellow java said: Unapata bila tatizo lolote lile ila kwenye kulipa deni hatuhitaji usumbufu... Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Tyanyi Member Jun 12, 2020 33 28 May 5, 2024 Thread starter #18 yellow java said: Unapata bila tatizo lolote lile ila kwenye kulipa deni hatuhitaji usumbufu... Click to expand... Hiyo si inakatwa automatically Chief
yellow java said: Unapata bila tatizo lolote lile ila kwenye kulipa deni hatuhitaji usumbufu... Click to expand... Hiyo si inakatwa automatically Chief
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Oct 29, 2022 1,047 2,439 May 5, 2024 #19 Ada milion 5 chuo gani iko
blogger JF-Expert Member Mar 13, 2012 11,765 14,669 May 5, 2024 #20 Vigezo vigumu sana siku hizi... Sisi tulikulA 100%.. miaka hiyo tukiwa watumishi wa serikali..