Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 872
- 2,114
Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo.
Na picha zimepostiwa saa chache zilizopita, fresh kabisa.
Unaona ana tabasamu kubwa, ameongozana na mtu mwingine kabisa ambaye hujawahi kumuona, na caption ni zile za “Forever with you”, “My one and only”, “Can’t wait to spend the rest of my life with you.”
Wewe ungefanyaje?
• Ungetuma message?
• Ungefuta namba zote?
• Ungeangalia kwa utulivu tu na kuendelea na maisha?
• Ungejichunguza kama ulipuuzwa au alikuwa na mtu mwingine muda wote?
Jamani, hivi kweli watu wanaweza kukuacha bila kusema neno, halafu baadae unakutana na mambo yao makubwa kwenye mitandao?
wana Jamii, hebu tupeane maoni. Hili linatokea kwa wengi, lakini watu wanabaki kimya kwa sababu ya aibu au maumivu ya ndani.