Je, TV zote zimelipwa kutangaza mafanikio ya Rais?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,495
20,527
Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukalale tu.

Ikulu mawasiliano TV zote za ndani kurusha mafanikio ya mama. Yaani mama akipigwa kama amepiga na akipiga kama amepiga.

Hii ni kazi nzuri ya gwiji Zuhura Yunus. Amewaacha Chadema waandamane yeye ameamua kutumia remote control kufikisha elimu kwa umma.

Mbowe ajifunze kitu hapa.
 
Mida hii kama hutaki kuangalia Ikulu Mawasiliano lakini unataka kuangalia TV za Tanzania basi hamna jinsi inabidi ukulale tu.

Watu wanaojitambua wanapata habari za kweli huku mitandaoni, huko kwenye TV Kuna habari zilizochujwa na kubeba propaganda zaidi. Fuatilia vizuri utakuta watu wengi wanaotazama TV ni aidha burudani kama mpira, muziki, na episode. Ni nadra kukuta watu wengi wanatazama hizo porojo za kiccm.
 
Karne ya 21 hii bado unaamini kwenye propaganda kupitia TV!
 
'uko pamoja na sisi au uko dhidi yetu' hii sentensi inawafanya watu kuwa chawa bila kupenda, mfano sasa hivi ukasikia hotuba yoyote bila mashairi ya kumsifia kiongozi hata kwenye mambo ambayo hastahili.
 
Watu wanaojitambua wanapata habari za kweli huku mitandaoni, huko kwenye TV Kuna habari zilizochujwa na kubeba propaganda zaidi. Fuatilia vizuri utakuta watu wengi wanaotazama TV ni aidha burudani kama mpira, muziki, na episode. Ni nadra kukuta watu wengi wanatazama hizo porojo za kiccm.
Unajua bei ya Bundle na ni wangapi wana Smart Phone na Internet Access ? Haipaswi TV inayolipwa Ruzuku kwa kodi zetu kuleta hizi biasness ila ndio hivyo hii nchi inajiendea tu kwa mlipa kodi kutokupata value for money...

Hata Rais kwenda kufungua miradi ya kitaifa na kuifanya kama ni ya Ki-Chama ni Ufisadi wa kodi za Mwananchi.... ila sababu waliopo kando hawakemei sana makes me wonder huenda nao wakiingia itakuwa ni wembe ule ule....
 
Back
Top Bottom