Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,303
- 4,564
Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba.
Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa kinachoabudiwa ni mizimu ya Israeli?kama tunavyotambua kiwa Mungu ni nguvu na ipo kila mahala inakuwaje lile eneo lilijengwa kama sehemu takatifu.
Je,waafrika wakienda kwa miti mikibwa huwa wanakosea wapi?.
Yakobo alihaidiwa utukufu wa kizazi chake kuwa Taifa kubwa litakalo angaza kila pembe ya dunia,tumeona Mtume Yusuf(Yosefu) aliongoza Misri,Daudi n.k Je hatima ya Mungu imetimia?
Je,Kwa vita vinavyoendelea bado mungu anaendeleza kiapo chake kwa Yakobo na vipi kihusu Mnyama,je Israeli hatoweza kuwa chapa yenyewe ya Mnyama kutokana na Matendo yake?
Naomba Elimu