Huo mwaka 2015 tume ilikuwa ingine?2015 ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupiga kura. Nilimpa JPM
Huwezi kuwa timamu wa akili ukapiga kura chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyopo chini ya ccm, huko wilayani wapo wakurugenzi(wateule wa raisi ambaye wakati huo ni mgombea)
Falsafa gani za kutiana kwenye viroba?falsafa za hayati JPM
Itabidi tuanzishe chama kwa kweliCCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
peleken sukuma gang kwa wapumbavu wenzenu.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Mzipeleke majumbani kwenuCCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Ufahamu wangu katika siasa haukuwa wa kiwango cha sasa, kumbuka hilo.Huo mwaka 2015 tume ilikuwa ingine?
BoraTutazipeleka Chettle Kwenye Kaburi La:-
Mzilankende Mnyago
nNgosha
Jiwe
Chuma
2025 twende na Hashim Rungwe Spunda! Yaani nchi nzima tutakuwa tunakula wali/pilau nyama mpaka tunasaza.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na Magufuli ndio aliondoa heshima na imani kidogo iliyokuwa imebakia kwenye box la kura. Hivyo kama mnaona kura zenu ni mali sana, pelekeni kwenye chama chenu cha sukuma gang.CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
spunda dah2025 twende na Hashim Rungwe Spunda! Yaani nchi nzima tutakuwa tunakula wali/pilau nyama mpaka tunasaza.