Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 335
- 933
Habari za muda huu.
Inawezakana litakuwa ni swali la kijinga kwa baadhi ya watu ila kwangu mimi naomba mnitoe ushamba kidogo nami nijifunze.
Kama tunavyojua Rais wa nchi yoyote ni Taasisi inayotembea. Popote anakapo kuwepo duniani.
Je, Raisi ana kitambulisho kinacho onyesha nafasi yake katika serikali, je raisi anatembea na Business card ?
Je kuna fundi la WhatsApp la maraisi Duniani, au kanda mfano Group la Maraisi wa East Africa, Europe, Asia, Africa n.k
Je, wanapokutana na wenzake pamoja na viongozi wakubwa wa taasisi mbali mbali je huwa wanabadilishana Business card au huwa inakuaje kufanya networking ?
Naomba kuuliza lakini pia nawaombeni majibu ya kistaarabu maana kuuliza sio ujinga.
NB: Ukijifanya mjuaji sana nakureport fasta kwa #Mods kama hujui kaa mkao wa kula ili wanaojua na watu wa protocols watupe madini.
Nawasilisha nikiwa Magomeni mapipa zamani lango la jiji.