Je, nifanye ubatizo na ubarikio kanisani kwangu (Anglican ) au huko kanisani kwao?

Kwanza naomba Uelewe.kama wewe ni msomaji wa biblia hakuna kitu kinaitwa ubatizo kwa mtoto,,mtoto habatizwi bali anabarikiwa kwa kupakwa mafuta maalumu na mchungaji..sasa unaposema ummbatize mi nakuwa sikuelewi ,maana hata biblia inasema AAMINIYE NA KUBATIZWA ATAOKOKA..sasa mtoto anaamini nini au kuokoka nini wakati hajui kitu? Hata yesu alibatizwa akiwa mkubwa,maana yake mtu hubatizwa akishajua baya na jema.na ubatizo ni wa maji mengi na sio vinginevyo.
 
Hata sisi, Wasabato tunaamini(kulingana na kielelezo cha Yesu Kubariki watoto wadogo) kuwa watoto wadogo hawabatizwi(maana ubatizo ni kwao waaminio) bali huwekewa mikono. Tofauti na walokole sisi hatuamini hiyo habari ya 'kumthaminisha mtoto' wala gharama zozote,bali ni mzazi mwenyewe kutoa sadaka ya shukrani akiona ni vema.

Ushauri; Usiamue wewe kama wewe,wala wewe na mkeo bali AMUENI KWA MUJIBU WA MAANDIKO FULL STOP
Mkuu hata sisi hatutoi pesa,bali siku hizi kuna matapeli wengi sana
 
Back
Top Bottom