Sio tu wajinga na Wapumbavu sana na MazezetaTanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi.
Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo mengine, imekuja baada ya Mkataba wa Kimangungo-mangungo wa DP World.
Hivi kama kweli siyo ujinga na umbumbumbu, utaingia mkataba ambao hauna kikomo na wenye masharti ya kuondoa uhuru wa nchi na wananchi wake katika kutumia rasilimali walizojaaliwa na Mwenyezi Mungu?!
Hivi kama kweli hatuongozwi na wajinga, mtatuleteaje mkataba ambao tayari Rais alishasaini yapata mwaka mzima huko nyuma, eti tuujadili (kupitia wawakilishi wetu wabunge ambao pia wamedhirisha ni wajinga wa kutupwa!?)? Kama siyo ujinga huu, nini basi??
Viongozi wengi wa Tanzania ni waoga!
Wengi wako kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao wenyewe na familia zao.
Na huwezi kuutenganisha uoga na ujinga. Wengi wanajidhalilisha kwa kutetea mambo ya kijinga ili tu waendelee kuwepo kwenye nafasi zao au wapewe promotion!
Hivi kweli hadi lini tutaendelea kuongozwa na wajinga wa aina hii?!
Mwisho, japo siyo kwa umuhimu; mjinga huwa hapendi kukosolewa, maana utashangaa baada ya ujumbe huu kusomwa na wanajamvi (ambao pia wajinga ni wengi), utashangaa uzi unatoweka kwenye mazingira ya kutatanisha na kumfuatilia mwandishi badala ya kuhangaika na kuondokana na ujinga!
Hatuwezi kuendelea kushuhudia mambo ya kijinga yakifanywa na viongozi wajinga yakiendelea katika nchi yetu.
Yaani kina Nyerere walifanya juhudi za kututoa utumwani, halafu wajinga wachache wanataka kuturudisha huko tena kwa bei chee kabisa; HAIWEZEKANI.
Amandraaaaaaaa..................
Aluta continua.
Kunamijinga mingine sijui imepewa laki mojamoja..imeenda dubai sujui ni miandishi ya habari yaani taitapakaaaaaaTanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi.
Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo mengine, imekuja baada ya Mkataba wa Kimangungo-mangungo wa DP World.
Hivi kama kweli siyo ujinga na umbumbumbu, utaingia mkataba ambao hauna kikomo na wenye masharti ya kuondoa uhuru wa nchi na wananchi wake katika kutumia rasilimali walizojaaliwa na Mwenyezi Mungu?!
Hivi kama kweli hatuongozwi na wajinga, mtatuleteaje mkataba ambao tayari Rais alishasaini yapata mwaka mzima huko nyuma, eti tuujadili (kupitia wawakilishi wetu wabunge ambao pia wamedhirisha ni wajinga wa kutupwa!?)? Kama siyo ujinga huu, nini basi??
Viongozi wengi wa Tanzania ni waoga!
Wengi wako kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao wenyewe na familia zao.
Na huwezi kuutenganisha uoga na ujinga. Wengi wanajidhalilisha kwa kutetea mambo ya kijinga ili tu waendelee kuwepo kwenye nafasi zao au wapewe promotion!
Hivi kweli hadi lini tutaendelea kuongozwa na wajinga wa aina hii?!
Mwisho, japo siyo kwa umuhimu; mjinga huwa hapendi kukosolewa, maana utashangaa baada ya ujumbe huu kusomwa na wanajamvi (ambao pia wajinga ni wengi), utashangaa uzi unatoweka kwenye mazingira ya kutatanisha na kumfuatilia mwandishi badala ya kuhangaika na kuondokana na ujinga!
Hatuwezi kuendelea kushuhudia mambo ya kijinga yakifanywa na viongozi wajinga yakiendelea katika nchi yetu.
Yaani kina Nyerere walifanya juhudi za kututoa utumwani, halafu wajinga wachache wanataka kuturudisha huko tena kwa bei chee kabisa; HAIWEZEKANI.
Amandraaaaaaaa..................
Aluta continua.
pole sana mkuuBasi tuiite nchi ya wapenda kiki na vihoja..
Maana lilikuja la wasudani, wakaona halitoshi, wakatuletea la mwanafunzi Ester Mwanyoko (malaya fulani hivi), sasa hivi sijui wanajipanga kutuletea kituko gani hili kutusahaulisha na hili la Bandari zetu za Tanganyika maskini!!
Sometimes huwa natamani hadi kulia ni kwa nini Mungu aliruhusu nikazaliwa hapa Tanganyika (Tanzania bara)?!
Uko sahihi kabisa, na ukihisi una akili timam na heshima kwenye jamii yako basi suala la bandari ndio kipimo chako.Hata wewe kwa haya uliyoandika imejidhihirisha wazi ni mjinga. Badala ya kutetea nchi yako, kazi kupiga propaganda za kijinga za kuwatetea viongozi wajinga.
Huna akili kabisa
Naona "wazee" wengi wakiwemo wastaafu wameamua tu kukaa kimya.Uko sahihi kabisa, na ukihisi una akili timam na heshima kwenye jamii yako basi suala la bandari ndio kipimo chako.
Huwezi kuwa timam ukatetea ujinga bora ukae kimya
Nadhani Wajinga ni hao viongozi akiwemo Mollel wanaofagilia mkataba wa mileleTanzania kwa siku za hivi karibuni imedhihirisha kile ambacho Naibu waziri wa Afya Dk. Mollel aliwahi kusema; kwamba Tanzania wajinga ni wengi.
Kwa bahati mbaya sana hata viongozi wakubwa na wasaidizi wa Rais, nachelea kusema kwamba na wao wamejidhihirisha kwamba ni wajinga. Hii pamoja na mambo mengine, imekuja baada ya Mkataba wa Kimangungo-mangungo wa DP World.
Hivi kama kweli siyo ujinga na umbumbumbu, utaingia mkataba ambao hauna kikomo na wenye masharti ya kuondoa uhuru wa nchi na wananchi wake katika kutumia rasilimali walizojaaliwa na Mwenyezi Mungu?!
Hivi kama kweli hatuongozwi na wajinga, mtatuleteaje mkataba ambao tayari Rais alishasaini yapata mwaka mzima huko nyuma, eti tuujadili (kupitia wawakilishi wetu wabunge ambao pia wamedhirisha ni wajinga wa kutupwa!?)? Kama siyo ujinga huu, nini basi??
Viongozi wengi wa Tanzania ni waoga!
Wengi wako kwa ajili ya maslahi ya matumbo yao wenyewe na familia zao.
Na huwezi kuutenganisha uoga na ujinga. Wengi wanajidhalilisha kwa kutetea mambo ya kijinga ili tu waendelee kuwepo kwenye nafasi zao au wapewe promotion!
Hivi kweli hadi lini tutaendelea kuongozwa na wajinga wa aina hii?!
Mwisho, japo siyo kwa umuhimu; mjinga huwa hapendi kukosolewa, maana utashangaa baada ya ujumbe huu kusomwa na wanajamvi (ambao pia wajinga ni wengi), utashangaa uzi unatoweka kwenye mazingira ya kutatanisha na kumfuatilia mwandishi badala ya kuhangaika na kuondokana na ujinga!
Hatuwezi kuendelea kushuhudia mambo ya kijinga yakifanywa na viongozi wajinga yakiendelea katika nchi yetu.
Yaani kina Nyerere walifanya juhudi za kututoa utumwani, halafu wajinga wachache wanataka kuturudisha huko tena kwa bei chee kabisa; HAIWEZEKANI.
Amandraaaaaaaa..................
Aluta continua.
Eti shujaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂Ni kweli, lakini matokeo yake kama sisi wenyewe hatuto-appreciate, basi wajukuu wetu watafanya hivyoo.
Iko siku huyo huyo mnayemnanga kila siku atatangazwa kuwa SHUJAA WA TAIFA WA MUDA WOTE..