Je, ni kweli Rostam Ameuza Share zake Vodacom?

Jee, kama kuna capital loss, analipwa yeye?

Ndiyo maana Investor yeyote anatakiwa ajihakikishie kuwa project anayowekeza ni viable mkuu... duniani kote lazima ulipe capital gain tax... ndo maana wenzetu walikuwa wanahoji kodi zilizolipwa from Celtel, Zain na sasa Airtel; Vodacom to Vodaphone, mobitel to Tigo...Sheraton...Serena, Kempinsk ....Hytt...(Jamboforums to Jamiiforums lol)...
 
Hizi zile hisa za Peter Noni (Former employee of BOT then Managing director of Tanzania Investment bank) Vodacom ziko wapi?
 
Jamaa alichofanya kuuza shares za holding company yake kwa vodacom , holding company yake makao makuu jersey na account huko huko ni legal way tu ya kupunguza kodi wataalamu wanaweza eleza kwanini holding company yake makao makuu na account sio Tanzania na kwanini kauza shares kwenye holding company yake badala ya kupokea hela moja kwa moja toka voda Kwenda kwa holding company yake
 
Wakati Serikali inajitoa katika kufanya biashara wewe unataka kutuingiza mkenge? Serikali si inayo TTCL, badala ya kununuwa shares za Rostam si waiboreshe TTCL.

Na ikitokea Serikali kununuwa shares za Vodacom basi watu watakwambia ni dili hilo, ufisadi.

Humu kuna watu wana roho mbaya za hasad hakuna zaidi. Kama Rostam kachukuwa mkwanja wa kutosha tunamuombea mafanikio zaidi, na afunguwe mabiashara mengine mengi, Tanzania na duniani kote, yatakayompatia faida zaidi.

Tunahitaji sana Watanzania wafanya biashara kama Rostam Aziz baada ya kutoka kwenye siasa na uchumi wa kijinga wa ujamaa na kujitegemea ulioshindwa kabisa kutekelezeka, ukaiwacha nchi na wananchi wake
masikini hohe-hahe.

Wala sikubishii kwamba auze, lakini bado ninafikiri kwamba kwenye makampuni haya ya simu tunahitaji umiliki bado ubaki wa watanzania na Serikali kununua share siyo kwamba waendelee kuwa nazo. Baada ya mud a wazifloat share hizo DSE ili zinunuliwe na watanzania. Sijasema popote ujamaa na kujitegemea, ingawa pia sidhani Kama umeshindwa kihivyo. Duniani kote sasa hivi ni uchumi mchanganyiko ndio unavuma. Mpaka Marekani wanaelekea kwenye social democrat, haushangai!
 
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES

Mbona Zain waliuza kampuni ya simu kwa Airtel. Kwani hizo mobile operators kwenye nchi 12 za Afrika zilikuwa za hasara. Kabla ya kujisifia mko kwenye fani ya biashara na mbwembwe kibao ni bora uhakikishe unachokisema kiko sahihi ama hapana.
 
Hizi zile hisa za Peter Noni (Former employee of BOT then Managing director of Tanzania Investment bank) Vodacom ziko wapi?
Zake aliwauzia Caspian ambayo kama sijakosea hii Kampuni imesajiliwa Tanzania.
Kwa nini aliamua kuziamisha shares kutoka Caspian kwenda Cavalry holdings iliyosajiliwa Jersey? Kuna harufu yoyote ya kukwepa kodi?
 
Ndiyo maana Investor yeyote anatakiwa ajihakikishie kuwa project anayowekeza ni viable mkuu... duniani kote lazima ulipe capital gain tax... ndo maana wenzetu walikuwa wanahoji kodi zilizolipwa from Celtel, Zain na sasa Airtel; Vodacom to Vodaphone, mobitel to Tigo...Sheraton...Serena, Kempinsk ....Hytt...(Jamboforums to Jamiiforums lol)...

RockSpider,

Na muhimu mkaelewa kuwa Sheraton alikuwa siyo mmiliki wa hoteli bali ilikuwa contracted to manage the hotel. Hivyo hivyo Kempinski alikuwa siyo mmiliki wa Kilimanjaro Hotel na wala Hyatt pia siyo mmiliki wa hiyo hoteli. Hata ile Holday Inn haimilikiwi na kampuni ya Holiday Inn. Hizi kampuni zinakuwa contracted ku-manage hizo hoteli kwa kutumia brand names za hizo makampuni. Hivyo management company inapobadilishwa haina maana kuna kuuzwa kwa shares.
 
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES
Maelezo yako ni sahihi lakini inategemea na availability of other possible alternatives which give higher returns. Tusisahau, RA is very smart, si ajabu ameshaangalia mbele. Leo hii Tanzania kuna Vitalu vya Gas; na ukiangalia Ripoti ya Forbes, inaeleza wazi kwamba RA ku-jump na kuwa the First Billionaire in Tanzania imechangiwa na hatua yake ya kuuza hisa za Vodacom. Kwa status hii ya kuwa ni the biggest billionaire in the country as per Forbes, inamfanya awe more secured kwa foreign investors pale atakapotafuta partnership ili ku-invest in Gas Industry.
 
- Hivi karibuni kulikuwa na habari za kibiashara kwamba Rostam Aziz ameuza share zake alizokuwa nazo VODACOM, sio siri kwamba amekuwa akimiliki share 35% ya kampuni hiyo kubwa sana hapa nchini, Rostam aliuza Share 17% kwa Shillingi za Tanzania Billioni 387.

- Swali la the dataz ni je ni kweli hizi alizouza zilikuwa ni share zake? Kama sio zake ni za nani? Na kwa nini zimeuzwa now kuelekea uchaguzi wa Rais 2015 na sio huko nyuma? Ninaamini majibu ya hili swali yana habari nzito sana na mustakabali wa Taifa letu was just thinking aloud!!

FMES - Wazee wa Sauti ya Umeme!!

Kama akiuza shares huko VODACOM hilo ni shauri lake ; sasa wewe ukijua itakusaidia kumuwezesha baba yako aupate URAIS 2015? Le Mutuz it is high time you acted your age buddy!!!
 
Uchumi mbovu kawaachia wewe na Daniel - wasemaji wa CCM. Kama ni uchumi ulioshindwa na wewe ndo umeachiwa kuutumikia au kuuwa zaidi?????????????

Una akili chafu , yaani ni kama ulikunywaga sumu ukapona!!!
Wakati Serikali inajitoa katika kufanya biashara wewe unataka kutuingiza mkenge? Serikali si inayo TTCL, badala ya kununuwa shares za Rostam si waiboreshe TTCL.

Na ikitokea Serikali kununuwa shares za Vodacom basi watu watakwambia ni dili hilo, ufisadi.

Humu kuna watu wana roho mbaya za hasad hakuna zaidi. Kama Rostam kachukuwa mkwanja wa kutosha tunamuombea mafanikio zaidi, na afunguwe mabiashara mengine mengi, Tanzania na duniani kote, yatakayompatia faida zaidi.

Tunahitaji sana Watanzania wafanya biashara kama Rostam Aziz baada ya kutoka kwenye siasa na uchumi wa kijinga wa ujamaa na kujitegemea ulioshindwa kabisa kutekelezeka, ukaiwacha nchi na wananchi wake masikini hohe-hahe.
 
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES

Wewe mfanyabiashara au mjasiriamali? mfanyabiashara ana wakati wa kuja JF na kuanzisha mada za kipuuzi?

Wafanya biashara wakubwa huwa wana mengi wanayaona ambayo wewe huyaoni, yanayowapelekea kuuza amma kununua amma kuanzisha biashara nyingine. Wana muono wa mbali katika biashara na ndiyo maana wanafanikiwa sana.

Usione biashara inakuwa kubwa ukadhani na faida inakuwa kubwa. Kumbuka biashara kama hii ya Vodacom ni kila siku inatakiwa ikuwe, unaweza kukuta mapato yote yanarudi tena katika kuwekeza ukuwaji wake.

Ulishaziona faida za Vodacom hata utake kutuaminisha kuwa ina faida kubwa?

Wewe utaona wapi na macho unayo lakini hayaoni? hukuona Celtel ikiuzwa? hukuona Tritel ikiuzwa? tena si shares ndogo ndogo ni zote kwa ujumla wake.

Hivi ukiandika huwa unafikiri wote humu ni misukule? Jipange upya.
 
Hili swali la Field Marshall ES ni la msingi sana...lakini kwa sababu JF ya siku hizi imeingiliwa, ni mchangiaji mmoja tu amekuja na maoni yenye elimu, wengi hawalichukulii kwa uzito stahili...na-miss sana JF ile ya late 1990's mpaka Mid 2005.

Weekend Njema!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Uchumi mbovu kawaachia wewe na Daniel - wasemaji wa CCM. Kama ni uchumi ulioshindwa na wewe ndo umeachiwa kuutumikia au kuuwa zaidi?????????????

Una akili chafu , yaani ni kama ulikunywaga sumu ukapona!!!

Nyerere kaiacha hii nchi senti mbovu ya kigeni hakuna hazina na BOT imechomwa moto.

Ukibahatika kuipata hotuba ya Ali Hassan Mwinyi ya "mikuki miwili", mwanzo mwanzo tu wa madaraka yake aliwaita wazee Diamond Jubilee na kuwaelezea namna alivyokabidhiwa hii nchi, alifanya kusudi asije kuambiwa yeye ndiyo kafuja.

Ukiisikia hotuba hiyo ndio utajuwa hii nchi aliipokea vipi. Utalia.

Mitaani foleni moja kwa moja, za kuanzia mafuta ya gari mpaka chakula cha kila siku. Ukipata kilo moja kwa wiki ya sukari kwa familia yako shukuru Mungu wako.

Tuulize tuliokuwepo upate faida ya kujuwa nchi hii imetoka wapi. Leo tuna neema kubwa sana, tunaongelea matajiri na mabilioni. Thubutu wakati huo, hata hicho ki share kinachoongelewa cha Rostam nchi nzima hii ilikuwa haina hata robo ya thamani yake. Kalagabaho.
 
Wakati Serikali inajitoa katika kufanya biashara wewe unataka kutuingiza mkenge? Serikali si inayo TTCL, badala ya kununuwa shares za Rostam si waiboreshe TTCL.

Na ikitokea Serikali kununuwa shares za Vodacom basi watu watakwambia ni dili hilo, ufisadi.

Humu kuna watu wana roho mbaya za hasad hakuna zaidi. Kama Rostam kachukuwa mkwanja wa kutosha tunamuombea mafanikio zaidi, na afunguwe mabiashara mengine mengi, Tanzania na duniani kote, yatakayompatia faida zaidi.

Tunahitaji sana Watanzania wafanya biashara kama Rostam Aziz baada ya kutoka kwenye siasa na uchumi wa kijinga wa ujamaa na kujitegemea ulioshindwa kabisa kutekelezeka, ukaiwacha nchi na wananchi wake masikini hohe-hahe.

Kwani Rostam ni mtanzania au Muiran?
 
- Kaka kama haupo fani ya biashara sio rahisi kuamini mfanya biashara wa status ya Rostam anaweza kuuza share zake 17% kutoka kampuni yenye faida ya ajabu kama VODACOM kaka mimi mfanya biashara sijafikiam level ya Rostam lakini najua kwamba haiwezekani na haijawahi kutokea Duniani unless ni Russia ambako Serikali inakulazimisha kuziuza,

- Wailuze wanaojua biashara kaka haipo hakuna mafanya bisahara mwenye akili timamu anayeweza kuuza share zote hizo kutoka VODACOM hasa kwa wakati huu impossible!1

ES

mimi mfanyabiashara na ninaweza kuuza, huu ni muda ambao share hizi zina bei nzuri sana. lakini, what exactly is your problem kama kauza? si za kwake, where are you going with this?
 
Wakati Serikali inajitoa katika kufanya biashara wewe unataka kutuingiza mkenge? Serikali si inayo TTCL, badala ya kununuwa shares za Rostam si waiboreshe TTCL.

Na ikitokea Serikali kununuwa shares za Vodacom basi watu watakwambia ni dili hilo, ufisadi.

Humu kuna watu wana roho mbaya za hasad hakuna zaidi. Kama Rostam kachukuwa mkwanja wa kutosha tunamuombea mafanikio zaidi, na afunguwe mabiashara mengine mengi, Tanzania na duniani kote, yatakayompatia faida zaidi.

Tunahitaji sana Watanzania wafanya biashara kama Rostam Aziz baada ya kutoka kwenye siasa na uchumi wa kijinga wa ujamaa na kujitegemea ulioshindwa kabisa kutekelezeka, ukaiwacha nchi na wananchi wake masikini hohe-hahe.

sisi tunao onewa kwakuteteana hatujambo..shikamooo
 
Back
Top Bottom