huna unachokijua wewe kilaza salumu mitema
ili inchi iitwe Ni yakiislamu Ni vitu gani huzingatiwa?
Irani sio nchi ya kiislamu kaa chini usome na dini Mdogo wangu
huna unachokijua wewe kilaza salumu mitema
ili inchi iitwe Ni yakiislamu Ni vitu gani huzingatiwa?
Irani sio nchi ya kiislamu kaa chini usome na dini Mdogo wangu
Iran ni nchi ya kiislam ya misimamo mikali ya kutaka kuiangamiza israel
Kuna ukweli wowote kuwa wamarekani, uingereza na ufaransa walimpa sapoti khomein kuanzisha jamhuri ya kiislam ya iran
Hii ni kwasababu mbona mpaka leo israel na marekani hawajaishambulia iran?