Je ni kweli kwamba mapinduzi ya kiislam ya Iran yalisaidiwa na Marekani, Uingereza na Ufaransa?

Iran ni nchi ya kiislam ya misimamo mikali ya kutaka kuiangamiza israel
Kuna ukweli wowote kuwa wamarekani, uingereza na ufaransa walimpa sapoti khomein kuanzisha jamhuri ya kiislam ya iran
Hii ni kwasababu mbona mpaka leo israel na marekani hawajaishambulia iran?
Ukisema Iran ni jamhuri ya nchi ya kiislamu hilo ni kosa kwa hawa wavaa vipedo ila hawesemi inaitwaje
 
Back
Top Bottom