General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,061
Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Ndo ivo. Nikazichukue tule wote?Mweh... kwa hiyo unapiga bata za ukweli kwa miaka mitatu na nusu?
Duh watu wana guts za kipekee....
Unatakiwa uwashukuru kwa kuunganisha hizi hela zako na zile za makinikia , kuna uwiano mkubwa sana .Huu uzi niliupost wiki moja nyuma lkn eti leo ndo Mods wameuachia
Lete ushahidi wowote hata wa uongo .Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Ndo ivo. Nikazichukue tule wote?
Sitaki kuleta ushahidi. Kama unataka utajiri wa aina hiyo, sema nikupeleke. Lakini uwe tayari kuuza roho yako...Lete ushahidi wowote hata wa uongo .
mkuu ni stori au ni kweli ?Sitaki kuleta ushahidi. Kama unataka utajiri wa aina hiyo, sema nikupeleke. Lakini uwe tayari kuuza roho yako...
Pesa za majini zipo ila hazipatikani kwa utaratibu unaelezwa na hao matapeli na wapigani kwenye matangazoWakuu..
Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio hayo.
Tumekuwa tukiona matangazo mbalimbali ya waganga kwamba unaweza pata pesa za ki freemason au pesa za majini na kutajirika mapema.
Tumesikia albino wakiuliwa kwa kuelezwa kwamba viungo vyao vinatimika kuleta utajiri.
Najua hapa JF kuna watu wengi ambao wanaweza kuwa wameshiriki au kushuhudia haya.
Nataka tusaidiane kujua mambo haya kiundani maana wengine mpaka sasa hatuamini mambo haya kutokana na mechanism yake haipo wazi.
mshana jr,Mtu mzito, Al-Watan Annael jichawi
chumaulete pepo la kimaskinikuna nyingine nasikia inaitwa chuma ulete, wanaume wa dar watatusaidia kuelezea
hata mimi niliwahi kusikia hizo stori za kupewa utajiri kwa miaka kadhaa, lisemwalo lipo.....Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Jamaa alijua hilo akajikatia bima ya maisha ya dola milioni 20 akifa walipwe watoto.Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Douh! Mkwanja mrefu balaa...Jamaa alijua hilo akajikatia bima ya maisha ya dola milioni 20 akifa walipwe watoto.
Kampuni ya bima amekatakata mwili wote ili kujiridhisha kama akijipa sumu,lakini wapiiii,mzigo unakwenda kwa zari na watoto