FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
- Thread starter
- #21
Je, Tanzania haiwezi kupiga marufuku uingizwaji wa nguo za mtumba. Yapi madhara.
Baadhi ya nchi ikiwemo Rwanda walishapiga marufuku nguo za mkono wa pili...Je Tanzania hatuwezi kuiga mfano huu wa kuvaa nguo kuu kuu walizovaa mabeberu...huku nyingine wakitapikia na kukojolea...je tufanyeje...what is the economic implication kama tukiamua...wadau leteni mawazo tupate...