BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,323
Hongera kwa kua na msimamo
Eti mtu anakuambia nikutumie kwa ngono mwanzon tu halaf kama itatokea mme fall in love ndo mtake things to the next level, huu ni upuuzi wa hali ya juu sijapata ona, kwaio kama haitatokea ame fall in love ndo itakua basi kwamba umetumika for sex only na i bet you atakuambia nime fall kwa mwingine..
there is worth waiting to do sex after marriage, there is worth waiting for right person at the right time na hapa it depends mahusiano yako na Mungu yakoje.
Huyo muache ajibebee hio laana ya kuzini na mzinifu mwenzie ambae ni bibi harusi mtarajiwa kwa mwanaume mwingine.