Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,281
- 7,357
Kwa wale mlioshikilia kuwa waTZ hawachangamkii fursa, nusu ya utu wenu ni UTUMWA mamboleo.
Wanadamu wenzetu mabara mengine wanatuzidi mbali sana kimaendeleo kwasababu ya UMOJA, MSHIKAMANO na UZALENDO uliotukuka kwa nchi zao na raia wenzao. Watapambana wao kwa wao pale wanapoona kuna mambo yanalega lega ndani ya ardhi yao; linapokuja suala la baina ya nchi yao na nchi nyingine, wala hutaamini kama ndo wale waliokuwa wakilumbana.
Sasa mnapojaribu kuaminishana eti waTZ hawachangamkii fursa, mara hawana vigezo eti kisa zimetajwa nchi jirani, ni UHAINI uliotukuka kwa waTZ wenzako.
Kuna mkuu amejaribu kutuambia hapa, madereva wa kwenye mashirika ya UN ni waTZ, je mashirika hayo yaajiri VIHIYO?
Kujua lugha ngeni si kipimo cha werevu.