Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Mkuu umeandika mazuri sana ila hapa ndipo umeharibu. MSD sio shirika la kuongozwa na Mfamasia tu. Mtu yeyote anaweza kulisimamia. Tena medical doctor kama yuko vizuri anaweza ongoza kwa ufanisi zaidi ya mfamasia.

MSD hawasambazi dawa tu, wanasambaza hadi vifaa vya maabara, mionzi n.k ambavyo mtumiaji mkuu ni daktari ambaye ana uelewa wake mkuu zaidi kuliko mfamasia. Lakini pia huyo daktari hata anajua dawa zipi zinahitajika. Sitaki tujikite kwenye hili, lakini msomi yeyote anaweza ongoza MSD.

Nimeridhika na uteuzi wa JPM juu ya Gabriel, kwanza ni Doctor( japo ilitakiwa awe Pharmacist lakini tofauti ni ndogo sana).
 
Mk54 huu Uzi wako unafanya viti msd viwe vya Moto. Utasababisha watu wakapige story na rugemalira keko mzee. Ngosha sio mtu wa mchezomchezo hasa kwa wanaokula hela ya umma.

Kuna Uzi mmoja hapa ulimnyima dada mmoja u Director general huko EPZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeandika mazuri sana ila hapa ndipo umeharibu. MSD sio shirika la kuongozwa na Mfamasia tu. Mtu yeyote anaweza kulisimamia. Tena medical doctor kama yuko vizuri anaweza ongoza kwa ufanisi zaidi ya mfamasia.

MSD hawasambazi dawa tu, wanasambaza hadi vifaa vya maabara, mionzi n.k ambavyo mtumiaji mkuu ni daktari ambaye ana uelewa wake mkuu zaidi kuliko mfamasia. Lakini pia huyo daktari hata anajua dawa zipi zinahitajika. Sitaki tujikite kwenye hili, lakini msomi yeyote anaweza ongoza MSD.

Sawa. Ninakubaliana na mawazo yako pia.

Mk54
 
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nchini (CAG) kwa mwaka ulioisha Juni 2019 imebaini kuwepo kuongezeka kwa deni la serikali kwa bohari kuu ya dawa (MSD) kwa kiasi cha Sh bilioni 16.18 kutoka Sh bilioni 37.48 za mwaka uliopita.

Ukaguzi huo wa CAG una mashaka kuwa ukwasi wa MSD unazidi kushuka hivyo kuathiri utekelezaji wa mipango mbalimbali ikiwemo usambazaji wa dawa na vifaa tiba kwa jamii pamoja na utekelezaji wa mipango yake mingine.

Na pesa zilizopotea bila nyaraka: can you state here au weka ile Document ya Assad hapa.

Mk54
 
Serikali kudaiwa na MSD siyo kitu kigeni. Madeni yapo tangu mwaka 2000, Serikali inalipa na inaendelea kukopa na maisha yanaendela.

Kwa taarifa yako vituo vilivyo chini ya TAMISEMI (Yaani hospitali za Wilaya, Vituo vya afya na Zahanati) vinaidai MSD Tsh 27 Bilioni wakati nayo MSD imevikopesha Tsh 13 Bilioni. Sasa nani anamdai mwenzie nyingi?

Bwanakunu hakuwa na skills zozote za financial management wala business management. Yeye alichojuwa ni kuharass wafanyakazi, ngono, ufisadi na dharau. Amefanya manunuzi yaliyoua mtaji wa MSD

Ninaungana na wewe

Mk54
 
Na pesa zilizopotea bila nyaraka: can you state here au weka ile Document ya Assad hapa.

Mk54
Nimejikita zaidi katika deni la serikali pale MSD.

Suala la kupotea kwa pesa bila nyaraka ni kesi ingine.Ata katika kipindi cha ASAD zilipotea 1.5 trilioni bila nyaraka.
 
Hilo deni ni Deni la JK, sio deni la JPM . JPM ametoa bajeti ya MSD kutoka bil 29 hadi kufika Bil 280.

Na kati ya Bil 280, ameshapeleka zaidi ya Bil 180, haya mambo yapo kwenye hizo hizo Documents unazosoma. Shida ya WaTZ hawana tabia ya kusoma ndio maana hivi vitu kwao ni vipya.

MSD. Is a procuring entity , right? It does business, right? Tho wanasema wao ni gvt entity , non profits; Bullshit , do you believe that ? Nenda kaulize bei za MSD then compare na za Mtaani.

MSD does business and it makes profit billions of money. The big question is that kati ya bil 180 alizotoa JPM, zimeleta profit ya kiasi gani ? Au mnataka JPM awaletee competitor ndio muelewe kuwa you are in a business with assurance of customers; ?

MSD haipaswi kuwa na expiries, wana wateja wa uhakika tena kisheria. Ndio maana tunasema MSD needs a great brain to run the organization. Fuatilia dawa zinazokuwa disposed na MSD , worth billions of money, nakumbuka kuna mwaka MSD ili dispose dawa za Bil 4 : can you blv ? Go and Ask Them.
Kama unaamini hizi ni Habari za mitandaon Endelea kuamini but Take note; the gvt is reading here and are taking note.
Matokeo atayaleta General Gabriel ; kumbuka General ametumwa na JPM with special instructions.

Na MSD imepata great brain athari yake utaipata kwenye vituo vya Afya. Dawa muhimu zote zitakuwepo.. bibi yako akienda Hospital kwa shida ya miguu kufa ganzi , maumivu ya miguu na mwili kuchoka , akilipia 7500 tu atapata multivitamins , atapata dawa za maumivu na atapata infusions za kutosha na hatotamani JPM kutoka madarakani.

Naona unaingiza na mambo ya siasa. Mimi nimejikita katika Ripoti ya CAG.Upatikanaji wa dawa ni changamoto sana katika hospitali zetu.Huenda ni kweli pia uongozi uliondolewa wa MSD nao pia ulikuwa na mapungufu yake.

Ila CAG Kichere alisema yafuatayo baada ya kutaja deni la serikali pale MSD " Ukaguzi huo wa CAG una mashaka kuwa ukwasi wa MSD unazidi kushuka hivyo kuathiri utekelezaji wa mipango mbalimbali ikiwemo usambazaji wa dawa na vifaa tiba kwa jamii pamoja na utekelezaji wa mipango yake mingine. "

Hivyo ata mkurugenzi mpya wa MSD atakutana na hii changamoto
 
Itakuwa ni changamoto endapo tu hatolifanyia kazi hilo eneo.

Ila huwezi kujikita zaidi kwenye eneo la pesa zinazodaiwa na kuacha eneo la pesa zinazopotea ambazo zina thamani zaidi ya hizo zinazodaiwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamjawahi kupata DG smart ambaye atakuwa na uwezo wa kutackle hizo changamoto.
This is True kabisa, Kuna dogo alikuwa Anaitwa Joseph Mgaya naona alikuwa smart kushinda Bwanakunu, ila inawezekana kwa vile zama zile hakuwezeshwa ipasavyo na Mkuu wa sasa.
 
Na Watu wanao harass wafanyakazi sio watendaji. Nadhani ni njia yao ya kuonekana ni watendaji. Yani ninashangaa hadi kesho amewezaje kukaa 5 years na hali ipo vile.
MSD has been with such kind of Leaders; I know hence i have been there back then. Directorate ambayo imekuwa inafanya vizuri na hakuna uhuni mwingi ni IT chini ya Isaya Mzoro ambaye amestaafu na sasa yuko Bwanamdogo Pascal; Kidoogo na AuditThe rest of Directorate zimekuwa changamoto kwenye utendaji, zaidi sana mambo ya Uchafu wa kigongono since back then.
 
Back
Top Bottom