K Kamundu Platinum Member Nov 22, 2006 7,265 9,965 Feb 19, 2024 #1 Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
Emanueli misalaba JF-Expert Member Dec 12, 2016 1,560 2,256 Feb 19, 2024 #2 Naweka kambi, nitakuwa nakuja kuchungulia madini ya wataalamu.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Dec 19, 2008 9,266 8,690 Feb 19, 2024 #3 Mbona matatizo ya figo yapo hata huko majuu ambako hawatumii miti shamba?
Uhakika Bro JF-Expert Member Mar 29, 2022 3,611 4,235 Feb 20, 2024 #4 Kitu chochote hata chakula ukikipeleka visivyo (dozi,kiasi) kinaweza athiri viungo vyya mwili Figo moyo nk
Kitu chochote hata chakula ukikipeleka visivyo (dozi,kiasi) kinaweza athiri viungo vyya mwili Figo moyo nk
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Apr 7, 2020 14,765 42,918 Feb 20, 2024 #5 It's exactly. Maana kanda ile inayoongoza kupiga nyungu ndiyo inayoongoza kwa wagonjwa wa figo
stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 16,843 25,343 Feb 20, 2024 #7 Wamasai na Wahazabe wangekuwa wanaongoza kwa magonjwa ya figo...