Sikumbuki vizuri labda niwacheki kesho..ila highest price ya kifurushi chao kikubwa kitakuwa chini ya elfu 70.Bei zao zikoje?
TCRA wafike mahali nchi iwe na kingamuzi kimoja tu. Makampuni yote yaweke channel zao humo. Si kitu Kigeni inafanyika huko duniani. Ukilipia chochote unapata channel zake
.Hapa ndo utaona raha ya ushindani wa kibiashara. Ni muda muafaka dstv wapate mshindani wa kweli nimeona wana kifurushi cha siku, wiki na mwezi.
Ushindani WA biashara Ni nzuri Sana asikuambie mti, ndo maendeleo yenyewe hayoTCRA wafike mahali nchi iwe na kingamuzi kimoja tu. Makampuni yote yaweke channel zao humo. Si kitu Kigeni inafanyika huko duniani. Ukilipia chochote unapata channel zake
Hata Azam wameleta cha wikiHapa ndo utaona raha ya ushindani wa kibiashara. Ni muda muafaka dstv wapate mshindani wa kweli nimeona wana kifurushi cha siku, wiki na mwezi.
Kwa hili hapana. Nchi nyingi wana kisimbuzi kimoja tu. Kila mtoa huduma anaweka channel zake humo na usipolipia inakata automatically.Ushindani WA biashara Ni nzuri Sana asikuambie mti, ndo maendeleo yenyewe hayo
Link please?Kwenye page yake ya facebook MR.STRIVE(mliki wa kwesetv)ametangaza atakuwa na kongamano la vijana na ujasiliamali pale diamond jubilee dsm tarehe 12/7. Naamini safari yake dar pamoja na mambo mengine ndo mwanzo wa ujio wa kwesetv na ving'amuzi vyake.Hope atatufurahisha sisi wapenda mpira tulioshndwana na dstv.