Je kwa alama hizi anaweza kujiunga na chuo ngazi ya Cheti?

Hawezi kusoma labda aende open university wana foundation course
Hiyo kozi haina mashiko tena! njia nzuri aende VETA aulizie kozi itakayomwezesha kupata NVA 3, halafu hiyo itampa njia ya kusoma NTA 4, 5 Na 6. Baada ya hapo atasoma kozi ya ndoto yake chuo kikuu!!Time is not an issue in academic arena
 
Back
Top Bottom