BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,864
- 13,115
Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu.
Get back to the point kuweka akiba ni kipaji sio kwa ajili ya Kila mtu ndio maana formal sector walikaa chini na kuumiza vichwa namna watakayo wasaidia waajiriwa wao wakaja na pension fund baada ya kustaafu.
The fun and true fact Kuna watu wanastaafu wakiwa na madeni makubwa kulinganisha na mafao yake sasa mtu kama huyu hata umkarishe darasani umpe somo la akiba hauwezi kukuelewa kabisa sababu sio kipaji chake.
Hakuna namna ya kumsaidia mtu wa design hii the only way ni kuacha maji yafuate mkondo wake.