Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Daby napenda vitu vizuri sana lkn sio kigezo cha mwanaume ana gari nijirahisishe soma mleta mada alivyosema
Mwanaume sio ule mwili wake sijui mkono makalio kichwa nywele miguu na Bega. Ila ni pamoja na hadi anapolala vyeti vyake nguo zake na vingine vyote.

Na tunapowatongoza tunakuja kama wanaume na hatuleti miili tu.
 
ukimaanisha
 
Sio kweli. Bas sisi ambao hatuna magari tungekua hatugongi.

My take

Gari lako unatumia kutongozea
 
Rubbish. Gari ndo inaendesha ndoa ? Labda uniambie gari kwa ajil ya kufanyia biashara kama teksi, kubebea mizigo na business za aina hio
Lakin gar ya starehe ama ya kutembelea?
Kama mtu amekupenda kwa ajil una gari huyo hakupendi ni ujinga ...ujinga kabisa...
Fake love ...kama mdada unataka gari nunua ya kwako jivutie wewe mwenyewe na hilo gari likuoe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…