Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,175
- 8,854
Si ndo hapo, sema wadada wa mjini wanapenda miteremkoo! Ni kutoelewa tu ila mapenzi hayana uhusiano kabisa na gari wala pesamalkia kama unampenda mtu gari ni nn kwan, vitu vingine ulimbukeni tu.