Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Tuombe samahani wenye vitz tafadhali, kwani sio gari? Mkigombania daladala mi napita tu na vitz yangu
kwenye daladala kuna utamu balaa hakunaga stress mara utasikia kondaa umeingiza yotee? Konda nini hiyo? Abilia si mizigo wangu?

Basi kama umenuna gafula kwe kwe kwee dala2 oyee
 
Rubbish. Gari ndo inaendesha ndoa ? Labda uniambie gari kwa ajil ya kufanyia biashara kama teksi, kubebea mizigo na business za aina hio
Lakin gar ya starehe ama ya kutembelea?
Kama mtu amekupenda kwa ajil una gari huyo hakupendi ni ujinga ...ujinga kabisa...
Fake love ...kama mdada unataka gari nunua ya kwako jivutie wewe mwenyewe na hilo gari likuoe kabisa


Maajabu kwa kweli.
 
Daby napenda vitu vizuri sana lkn sio kigezo cha mwanaume ana gari nijirahisishe soma mleta mada alivyosema
hakuna aliye mjanja kama mwanaume ana mafanikio utalegea tu. umkute ana gari v8 kakubeba yaani utashikwa chuchu huku umelegea wala hausemi kitu
 
Don't you have anything to say as thread is concerned my super Dear au niache maneno niweke muziki???
All i can say... Hakuna asiyependa maisha ya urahisi... Maisha ya starehe.. Gari ni usafiri same time chombo cha starehe... Wapo wanawake wanaopenda sana mwanaume mwenye gari..
 
Unajua nilichojifunza mm hapa mjini ni kwamba mahusiano yapo more like business arrangement...kila mmoja anapata anachohitaji. So ukiwa na gari na manzi anajua issue ya usafiri itakua easy lazima ashoboke na mwana kama kawa atachoma mafuta...mwisho wa simu everyone is happy.
 
Sio gari tu, inategemea na aina ya gari. Kuna gari ukiwa nalo wala hutumii nguvu kuongea na mdada. Ila wenye baby walker msijifariji mmependewa magari.
 
Ni umaskini ndugu ukiona hivyo idadibya watz wengi ni maskini hasa wanawake. MTU aliyezaliwa na kukulia kwenye nagari hawezi ona gari ni kitu cha ajabu. Umaskini ni kitu kibaya sana tupige vita umaskini


 
Back
Top Bottom