sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,045
- 3,980
Ni miaka zaidi ya 20 Mbowe na wenzie wa Chadema wamekuwa wakipokea pesa za mishahara ya ubunge na posho za vikao.
Wakati Mbowe na wenzie wanatoka bungeni walikuwa wanapokea mil 13 na posho za vikao juu.
Leo Mbowe anashangaa wabunge wanapewa pesa nyingi wakati watumishi wa umma wanalipwa kidogo.
Je kuna rekodi zozote akikataa mshahara mnono, posho na kuendesha shangingi?