Je, kuna Mall Kubwa itajengwa Darajani Unguja - Zanzibar?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,687
24,104
Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani.

Nilinasa picha hizi kwa mbali zikiwa zinapigiliwa misumari majira ya usiku kuwa ndiyo majengo yatakayooteshwa hapa jurani na mkunazini primary skuli.

20220116_200303646.jpg


20220116_200202953.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom