LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Bezecky

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
301
313
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.
 
Upinzani kushiriki chaguzi chini ya Katiba ile ile na tume ile ile ni wrong move asee.
 
wa kulaumiwa ni yule mwenye kuwaengua kwa sababu za kimagumashi kama vile yeye ni malaika mtakatifu asiye fanya makosa. Haya mambo ya kuenguana ni old stone age na wanao ratibu zoezi la kuengua watu ni zinjanthropus wa zama hizi... wajitathmini kwa kweli... huwezi engua mtu ili mwingine apata advantage ya ushindi- ujuha uhuja tu...
 
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe,

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.
Tatizo ni Lissu. Madhara aliyomuachia Magufuli baada ya zile risasi 16 alizompiga zimeathiri hadi ubongo wake.

Amebakia mtu wa kuropoka
 
CDM ni watu wa kutabirika na kusubiri kutengeneza mazingira,

Maridhiano yenye nia njia ya Samia yana uhusiano gani na CDM kwenye kufuata kanuni za uchaguzi.

Lissu ndio poyoyo asietoa ushauri wa sheria kwenye chama, anasubiri; wakosoe ili waanzishe ugomvi
 
Upepo ushapuliza afu unauliza nyeti za kuku kijana?

CCM na machawa wake ndiyo wanafanya hii kazi ya kubaka uchaguzi..ni aibu kubwa kwa Taifa.
Mbowe hapana hana Mpango wowote
 
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.
ni muhimu zaidi walioenguliwa wakajilaumu wenyewe kwa kukosa sifa za uongozi na kukiuka taratibu, kanuni na sheria za uchaguzi wa serikali za mitaa na si vinginevyo 🐒
 
Back
Top Bottom