captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 632
Unaelewa maana ya middle class ndugu.????mkuu za pesa ndefu kama hizo sizihitaji nahitaji zile za uswahilini ambazo middle class anauwezo wa kulipia kwa mwezi
ngoja nitajirubu kwenda kuangalia kwanza kama papo fresh
dar sipataki tena nataka kuvuka border