Je hii ni kweli?

kuna haja gani ya kuanika matusi jukwaani japo yamebebewa uzito kwa lugha ya kikoloni. kwa mwendo huu wa wakongwe Jf kutukanana 'son of bitch' na mengi mengineyo kama haya tunapata wapi ujasiri wa kushambulia vijana wageni wenye mienendo tunayoi-term lugha za fb?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom