Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 20,100
- 22,096
Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara.
Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya mwili iliyopoteza matuamaini kabisa. Kutoa ya moyoni atapata ahueni na nafuu kubwa na kuepukana na msongo wa mawazo uliomzonga kwa muda mrefu, hapo nampongeza sana kijitibu.
Anakiri mwenyewe kwa kinywa chake kukosea, lakini hapo hapo anadaia hana makosa, ameonewa na anakwebda mahakamani
hii sio dalili nzuri mentally, yafaa kiongozi huyo asaidiwe mapema mambo yasiharibike zaidi.
Muungwana anajaribu kuelekeza bunge na spika jinsi ya kufanya kazi na majukumu yao, anasahau taasisi ile nyeti inawajibika na kutekeleza kazi na majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge, lakini pia kulingana na inavyoonekana inavyofaa. Nadhani kuna changamoto ya kuzifahamu maana na madhumuni ya kanuni za bunge.
Kukiri kukosea na kisha kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki, ni jambo zuri sana, na kurahisishia vyombo hivyo kufanya kazi kwa urahisi sana na kuhitimisha na bila kupoteza muda.
Aidha ikiwa ndio hotuba na mkutano wako wa mwisho ukiwa kama mbunge anae tumikia adhabu ya bunge, nakutakia siasa njema sana kwenye plaforms nyingine humu nchini, ntakumisi sana kwenye korido za bunge tulikokua tukipishana sana mara kwa mara, naamini tutakutana mahali pengine na mawazo mengine
Soma===>>> Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!